Mh! Sasa nimejua kwanini Prof wa Kichina anapigia Chapuo KATIBA YA MAFISADI.Kweli niliambiwa na Baba kua uyaone,nimeyaona.
Katiba pendekezwa kwa hakika kabisa imembeba Kikwete kwa kumsetiri kwenye ufisadi unaohusisha familia yake. Issue ya Escrow hatukujua kama nayo yumo. Tunashangaa tu Rais anatunga safari zisizo na mpango kukimbia report za CAG na PCCB, atazikimbia mpaka lini. Maji ameshayavulia nguo inabidi tu atumbukie ayaoge. Arudi hapa nchini, ajiuzuru amuachie Urais Judge Mkuu na uchaguzi mwingine ufanyike mwezi wa nne mwakani, pindi daftari litakapokuwa updated. Tumechoka
Weka namba yako nikutumie kwenye sms mkuu.ngoja nifuatilie bank financial statement nijiridhishe
Pasco, mbona hili suala liko straightforward kabisa??
kwenye level ya executive suala la conflict of interest lipo dhahiri. rais au wanafamilia hawapaswi kufanya biashara ambayo serikali ni mdau au ina maslahi ya moja kwa moja. mtu huhitajiki kuwa gwiji wa sheria kutambua hili.
but nnachojua mimi ni kuwa hili litapita tu kama ilivyopita issue ya Mkapa. kama lilivopita suala la EPA. kama ilivyopita issue ya Mwangosi (mwandishi). kama ya yule dk aliyeng'olewa meno. ne mengine mengi tu. why? kwa vile sisi Watz nikiwemo na mimi na wewe Pasco are simply f....ed!!
sijataja ya Richmond kwa vile kuna mtu aliamua kubeba masalaba kwa niaba ya "chief culprit" (ndiyo maana mimi nadiriki kusema kwa ujasiri kabisa kuwa asipoteuliwa Dr Slaa na chama chake kuwa candidate wa kuingia Magogoni 2015, mr grey head is my alternative default option).
Pasco, na Swala la UNDUE influence au conflict of interest hulioni hapo? Maana JK ndiye Mkuu wa nchi, hivyo ni kama CEO wa mashirika yote ya Umma hapa TZ. Sasa kama watoto wake wamepata mkataba tata na shirika mojawaopo la Umma, anakwepaje uwajibikaji hapo? Rudi kule kwenye criminal law, huku waachie wenyewe mkuu!Mkuu Yeri, asante kwa taarifa hii, ila kama huko juu umeishasema uchunguzi umekuonyesha wamiliki wa hii kampuni ni kina fulani!, huwezi tena kumalizia kwa kuuliza swali ambalo tayari uchunguzi wako umeisha lijibu!.
Hii inamaana moja tuu, ama huna uhakika na hiyo ripoti ya uchunguzi, ama unajua kabisa kuwa sii kweli, ndio sababu ya hiyo inconsistance yako!.
Lakini ikitokea ikawa ni kweli, fuatilia umri wa hao wamiliki, kama wote wamevuka the age of the majority, then sio lazima kuwa ni mali ya familia, kwa sababu mtu akiisha vuka 18, ni legal person on her/his own independent of wazazi wake!.
Kama walikuwa hawajavuka 18!, hii inamaanisha na jamaa anafuata nyanyo za mtangulizi wake, "kufanya biashara "mahali patakatifu" pale!.
Pasco
Kufanya nini wote hawa ni watu wa jk kwahiyo ni familia yake hata hawa pia.
View attachment 200995