OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
hoja ilikuwa mahsusi kwa Yeriko, wewe kiherehere cha nini?
weka ushahidi wa upuuzi uliouandika. Umbea tu mwisho utavalishwa kanga
weka ushahidi wa upuuzi uliouandika. Umbea tu mwisho utavalishwa kanga
hoja yako hapa iko wapi? Au ndo kujipendekeza?
Hoja ni nyie Vijana wa Lumumba kujitoa ufahamu kutetea wizi wa wazi ambao umelikumba Taifa,hoja yako hapa iko wapi? Au ndo kujipendekeza?
mkuu tusipoamua kufanya maamuzi wenyewe tutaendelea kumsubiri sana huyo mungu kiziwi, kwanza kwanini atuletee Rais kiazi namna hii?Tumemlilia Mungu muda mrefu sana, tumeimba mapambio ya kumsifu Mungu muda mrefu sana.Lakini maandiko yanasema Mungu huwa hakawii kuitimiza ahadi yake kwa mwanadamu.Wakati wa Mungu kujidhihisha ni sasa. Anaanza kuliweka taifa lake LA TANZANIA liwe huru na mafisadi
Mkuu, yaani wewe umekuwa zezeta kiasi hicho mpaka unashabikia huu uzushi wa Yeriko. Tumemwambia atuwekee humu ushahidi vinginevyo atakuwa mpuuzi wa kupuuza tuHoja ni nyie Vijana wa Lumumba kujitoa ufahamu kutetea wizi wa wazi ambao umelikumba Taifa,
Lizabon&CO Mnapaswa kubadilika.
Hayo ni mawazo yako yalipotoka mnona slaa alishindwa kupata hata kura elfu kumi akashindwa hata kusogea alipokuwa amesimama jk ni kiongozi hodari ndiyo maana kwa sasa tanzania haipo kwenye kundi la nchi 25 maskini duniani wakati2010 tulikuwa katika nchi kumi maskini soma hapa.
Kwa dakika kumi nilikuwa naangalia empty page nikitafakari cha kuchangia khs hili Taifa na mpaka sasa sijapata cha kuchangia nimeishia kuandika malalamiko yangu juu ya kukosa cha kuchangia........ngoja nisome habari zingine huko naweza kupata cha kusema hapa nimenyoosha mikono.
Kwani wewe unaamini nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania kama si huyu tuliyenaye?mkuu tusipoamua kufanya maamuzi wenyewe tutaendelea kumsubiri sana huyo mungu kiziwi, kwanza kwanini atuletee Rais kiazi namna hii?
tunaendelea kufuatilia mjadala. Soon Yeriko atawajibika kwa uongo huu
Mkuu Yeri, asante kwa taarifa hii, ila kama huko juu umeishasema uchunguzi umekuonyesha wamiliki wa hii kampuni ni kina fulani!, huwezi tena kumalizia kwa kuuliza swali ambalo tayari uchunguzi wako umeisha lijibu!.
Hii inamaana moja tuu, ama huna uhakika na hiyo ripoti ya uchunguzi, ama unajua kabisa kuwa sii kweli, ndio sababu ya hiyo inconsistance yako!.
Lakini ikitokea ikawa ni kweli, fuatilia umri wa hao wamiliki, kama wote wamevuka the age of the majority, then sio lazima kuwa ni mali ya familia, kwa sababu mtu akiisha vuka 18, ni legal person on her/his own independent of wazazi wake!.
Kama walikuwa hawajavuka 18!, hii inamaanisha na jamaa anafuata nyanyo za mtangulizi wake, "kufanya biashara "mahali patakatifu" pale!.
Pasco
Hoja yako ipo wapi?Hivi ile kinga yo rais mara akistaafu kushitakiwa imeondolewa kwenye katiba waliyojipendejezea?