DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
GT wa JF hizi taarifa msizipuuze .......taarifa hii si ndogo .......kwa wale wazoefu wa humu ......kuna kajoto kakipanda sehemu fulani ujue huu ujumbe umegusa mfupa ...........

Nadhani wengi hamjamuelewa Pasco .....uandishi wake hutaka akili nzuri kuelewa .......naona hapa sasa mzee wa Pasco anaomba popcorns za kutosha ..........otherwise mwakani ni either with us or against us .........na uamuzi ufanyike sasa ......lazima asalimu amri ..........:A S 13:
 
Last edited by a moderator:

Haaa! Ndio maana piga uwa, pendekezo la wananchi kupitia tume ya katiba kuwa tupunguze madaraka ya rais n.k yalichakachuliwa? Tufanye nini Watz?
 
Ushahidi upi wewe mtetea mafisadi,au na wewe umemegewa fungu,subiri ripoti itoke ndo uulize ushahidi
Acha kukurupuka wewe. Tuwekee humu ushahidi kuwa Simba Trust inamilikiwa na Salama Kikwete na Miraji Kikwete. Hizi ni porojo tu unaleta
 
let me assume siwajui hadi sasa hivi lakini nahitaji report ya uchunguzi
 

kama ukweli ndio huo kwanini serekali na baadhi ya watu wanataka kuwatoa kafara watu ambao hawahusiki kabisa.
mungu hapendi uonevu hata kidogo, tusiwaonee watanzania ambao wanasadiwa kaqma msaada katika nshughulli zao za kimaendeleo au kuisaidia taifa kama katika shule n.k
 
hatuhitaji lugha ya kisheria kubainisha maovu ya pale unapopaita patakatifu!.bali ufamilia ni pamoja na muunganiko wa salma na kikwete ni familia tosha. *pia utakatifu ni matendo na siyo ufisadi wa kutisha kama huu ulio fanywa na jk!
 
Kila jambo ww unashabikia/pinga hata kama hulifahamu.Hapa watu wanaleta hoja lkn ww ni umbea tu kisa buku7 umeshakunjia kwenye sidiria!Kama jambo halifahamu bora ukae kimya utaonekana mwerevu na sio kutokwa povu!

dada yangu, haya umeandika ukiwa umelalia kifuani mwa mwanaume? Lo! Hadi unatia huruma dada. Kazi zingine waachie wanaume. Wewe huziwezi
 
hatuhitaji lugha ya kisheria kubainisha maovu ya pale unapopaita patakatifu!.bali ufamilia ni pamoja na muunganiko wa salma na kikwete ni familia tosha. *pia utakatifu ni matendo na siyo ufisadi wa kutisha kama huu ulio fanywa na jk!

hapa umeandika nini ndugu? Mwambie ndugu yako Yeriko aweke ushahidi vinginevyo atawajibika kwa kumzulia uongo Rais na familia yake
 
Ikiwa habari hii ni ya kweli basi tunapaswa kuamini hata hapo kwenye red. Kutokana na hilo ndio maana wenye akili zao na wasiopenda kubeba mikoba ya wanasiasa wanaamini kwamba CCM, CHADEMA, CUF, NCCR n.k wote ni wezi tu na mafisadi wakubwa.
 
Auwii!Mwenzenu kiuno kinauma huku mwaendelea kunitwika mizigo jamani!

Ule mgao wa umeme 2011-2012 uuwii!

Richmond uuwii!

Tembo wetu uuwii!

Mtwara uuwii!

Katiba uuwii!

Na hili nalo?capacity charges za 400m a day huku Tanesco iko taabani vile,jamani jamani jamaani AUWIIII!
 
Haikosi wewe ni monster juha. Hufai kuishi na binadamu maana wewe ni mnyama pori, asiye na faida kwa biandamu wala mimea.

Mbowe ni fisadi amemlipua wapi hata babu slaa naye ni fisadi mwambie amlipue mapema.
 
watanzania tungekua kitu kimoja kupinga ufisadi bila kujali itikadi ya vyama hakika tungewezatokomeza kabisa kama miss tanzania alivyoshikiwa kidedea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…