DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
asante sana mkuu Yericko Nyerere. sasa watanzania muone jinsi serikali dhaifu ya CCM inavyofilisi mali za umma wakati wagonjwa wakifariki hospitalini kila siku kwa kukosa dawa. wakati umefika sasa watanzania tumuondoe huyu IBILISI mnyonya damu madarakani mwaka ujao. hima watanzania tujiandikishe na tujitokeze kupiga kura ili kuondoa hili PEPO kutoka kwenye utawala wa nchi hii. hivi ni lini hawa mafisi na manyang'au wa CCM wataacha kutafuna mali za umma?
 
Last edited by a moderator:
Ok nashukuru umecheka sasa turudi kwenye mada wewe kwanini unaona alicholeta Yeriko ni uzushi?

yeah. Ni uzushi tena ni uzandiki mtupu. Utaendelea kuwa uzushi mpaka atakapoleta vielelezo kuthibitisha madai yake hususan suala la Simba Trust kumilikiwa na Salama Kikwete na Miraji Kikwete
 
kwa msako huu, hakuna hata PANYA mmoja atakayesalia kihengeni. huu ukoo wa panya wamezoea kuguguna mali za umma lakini safari hii kila panya anayehusika lazima atakwenda na maji!
 
Kama ni kweli basi na yeye mwenyewe akija ajiuzulu na familia yake yote,hii ni aibu ya mwaka na kweli mwisho hautakuwa mzuri haswa kipindi hiku tunaelekea kwenye uchaguzi

kuna haja gani kusubiri mpaka aje? vijana wa mwamunyange wako wapi wachukue nchi.
 
yeah. Ni uzushi tena ni uzandiki mtupu. Utaendelea kuwa uzushi mpaka atakapoleta vielelezo kuthibitisha madai yake hususan suala la simba trust kumilikiwa na salama kikwete na miraji kikwete

leo mnalo hili
 
asante sana mkuu Yericko Nyerere. sasa watanzania muone jinsi serikali dhaifu ya CCM inavyofilisi mali za umma wakati wagonjwa wakifariki hospitalini kila siku kwa kukosa dawa. wakati umefika sasa watanzania tumuondoe huyu IBILISI mnyonya damu madarakani mwaka ujao. hima watanzania tujiandikishe na tujitokeze kupiga kura ili kuondoa hili PEPO kutoka kwenye utawala wa nchi hii. hivi ni lini hawa mafisi na manyang'au wa CCM wataacha kutafuna mali za umma?
Usijali mkuu wachina wapo .
 
Last edited by a moderator:
kwa msako huu, hakuna hata PANYA mmoja atakayesalia kihengeni. huu ukoo wa panya wamezoea kuguguna mali za umma lakini safari hii kila panya anayehusika lazima atakwenda na maji!

Ntakua mstar wa mbele kuongoza harakati shime watanzania tuingie mtaani kama wabukinabe.
 
Nashukuru, je what was the decision process towards opening of Escrow bank account, vyombo gani vilihusika kukubaliana kuwa sasa escrow ifunguliwe?
bado conflict of interest inanukia watu walifanya declaration of interest b4 process started
Minabusu, hapa sasa tunazungumzia vitu vingine tofauti, mimi nazungumzia umiliki wa kampuni kwa mtoto ni independent ya mzazi!, wewe sasa unaleta mambo ya eskrow!.

Mambo ya kampuni yanaitwa duniaya ya makampuni, "the corporate word" ambapo kampuni kisheria ni mtu, an entity of its own, independent na wamiliki!, na ikitokea mmiliki ni mtoto wako, wewe kama baba huna any legal resiponsibility kwa mwanao over 18!, akiboronga, ameboronga yeye!.

Kampuni inaweza kushitakiwa mahakamani na ikatozwa fidia ikalipa bila wamiliki kuhusika kwa lolote!, ila inapotokea, kampuni ikafanya kosa la jinai, la kulazimisha mtu kwenda jela!, hapo ndipo mahakama hufanya kitu kinaitwa "un veil the corporate veil" ya wamiliki, ambao sasa ndio watashitakiwa kwa kosa la jinai na watakwenda jela!.

Tukija kwenye issue ya escrow, hii ni account maalum ambayo hufunguliwa kunapotokea ugomvi wowote kati ya wamiliki, mfano Mimi Pasco wa JF na Muna, tumeanzisga kampuni yetu ya PASUMUNA, then tukatofautia kuhusu umiliki, au mgao wa faida, mimi nakushitaki na mahakama inaamua, kufuatia ugomvi wetu, fedha na mali za kampuni, zitakuwa chini ya uongalizi wa BOT hata suluhu itakapo patikana!.

Ndivyo ilivyokuwa IPTIL wabia ni mtu anayeitwa James Rugemalila wa Mabibo wines ameingia ubia na kampuni ya Mechimar ya Malesia kwa makubaliano ya 70/30, wakapata tenda Tanesco, mgao ulipotoka Mlalesia akagoma kumlipa Rugemalila ile 30 % yake kwa hoja ni kubwa mno huku Ruge amechangia mchango sifuri!, ndipo Ruge akaenda mahakamani kumshitaki partner wake!. Sasa hapa ndipo escrow account ikafunguliwa hadi mgogoro uishe!.

Singa Singa wa PAP akala dili kujifanya ameinunua IPTL 100% percent, na kuwasilisha vithibitisho vya ununuzi, Ruge akafuta kesi, hivyo kukawa hakuna tena kesi, kufuatia taarifa ya kufutwa kesi BOT ikaifunga hiyo escrow na kumpa Singasinga fedha zote!.Kama BOT ilifungua escrow kufuatia mgogoro, sasa mgogoro umeisha, kwa nini asirelease hizo funds!.

Uchunguzi ukithibitisha Singa Singa ni tapeli, hakununua, hapo ndipo kutakuwa na ngoma!. Na kama parners wa Singa Singa ni kijana na binti mfame, mfalme hahusiki!, ni vijana wake wakubwa!.

Nawaomba tusishabikie sana suala la nani ni mmiliki, hivi mnajua kuwa Richmond ndio Dowans ndio Simbion, mashine ni zile zile, gharama ni zile zile, na wamiliki ni wale wale, ila tuu, majina ndio wamebadili!, kuna anyone anaye bother mmiliki wa Simbion ni nani?!.

Pasco.
 
umeandika cema mkuu. Ila edit hapo ulipoandika the corporate ''word'' badala ya ''world''
 
najua mpango huu unaratibiwa kwa karibu na Mamvi. Ila kwa Pinda wamegonga mwamba

Lizaboni wote tumemahutumu Yeriko kuchafua watu bila ushahidi nawewe unalamba matamshi yako kuwa inshu inaratibiwa na Mamvi.kumbe wewe huna lolote zaidi ya kuleta chuki na siasa za makundi umeniudhi
 
Kuna kila dalili kwamba viongozi wakuu wa vyama vya upinzani waliotajwa katika report ya CAG wanatoka CHADEMA.Hii inatokana. na sintofahamu,taharuki na nia ya dhati kupotosha ukweli,dhihaka kwa watetezi na kuwachafua imejionyesha dhahiri chini ya vibaraka wao mjepo Nguruvi3 Yericko Nyerere IKWETE POMPO.

Wangekuwa wamo na viongozi wakuu wa cdm kadhia hii ingekuwa imeshawekwa hadharani na CAG, Mwenye akili lazima alitambue hilo!
 
Last edited by a moderator:
Minabusu, hapa sasa tunazungumzia vitu vingine tofauti, mimi nazungumzia umiliki wa kampuni kwa mtoto ni independent ya mzazi!, wewe sasa unaleta mambo ya eskrow!.

Mambo ya kampuni yanaitwa duniaya ya makampuni, "the corporate word" ambapo kampuni kisheria ni mtu, an entity of its own, independent na wamiliki!, na ikitokea mmiliki ni mtoto wako, wewe kama baba huna any legal resiponsibility kwa mwanao over 18!, akiboronga, ameboronga yeye!.

Kampuni inaweza kushitakiwa mahakamani na ikatozwa fidia ikalipa bila wamiliki kuhusika kwa lolote!, ila inapotokea, kampuni ikafanya kosa la jinai, la kulazimisha mtu kwenda jela!, hapo ndipo mahakama hufanya kitu kinaitwa "un veil the corporate veil" ya wamiliki, ambao sasa ndio watashitakiwa kwa kosa la jinai na watakwenda jela!.

Tukija kwenye issue ya escrow, hii ni account maalum ambayo hufunguliwa kunapotokea ugomvi wowote kati ya wamiliki, mfano Mimi Pasco wa JF na Muna, tumeanzisga kampuni yetu ya PASUMUNA, then tukatofautia kuhusu umiliki, au mgao wa faida, mimi nakushitaki na mahakama inaamua, kufuatia ugomvi wetu, fedha na mali za kampuni, zitakuwa chini ya uongalizi wa BOT hata suluhu itakapo patikana!.

Ndivyo ilivyokuwa IPTIL wabia ni mtu anayeitwa James Rugemalila wa Mabibo wines ameingia ubia na kampuni ya Mechimar ya Malesia kwa makubaliano ya 70/30, wakapata tenda Tanesco, mgao ulipotoka Mlalesia akagoma kumlipa Rugemalila ile 30 % yake kwa hoja ni kubwa mno huku Ruge amechangia mchango sifuri!, ndipo Ruge akaenda mahakamani kumshitaki partner wake!. Sasa hapa ndipo escrow account ikafunguliwa hadi mgogoro uishe!.

Singa Singa wa PAP akala dili kujifanya ameinunua IPTL 100% percent, na kuwasilisha vithibitisho vya ununuzi, Ruge akafuta kesi, hivyo kukawa hakuna tena kesi, kufuatia taarifa ya kufutwa kesi BOT ikaifunga hiyo escrow na kumpa Singasinga fedha zote!.Kama BOT ilifungua escrow kufuatia mgogoro, sasa mgogoro umeisha, kwa nini asirelease hizo funds!.

Uchunguzi ukithibitisha Singa Singa ni tapeli, hakununua, hapo ndipo kutakuwa na ngoma!. Na kama parners wa Singa Singa ni kijana na binti mfame, mfalme hahusiki!, ni vijana wake wakubwa!.

Nawaomba tusishabikie sana suala la nani ni mmiliki, hivi mnajua kuwa Richmond ndio Dowans ndio Simbion, mashine ni zile zile, gharama ni zile zile, na wamiliki ni wale wale, ila tuu, majina ndio wamebadili!, kuna anyone anaye bother mmiliki wa Simbion ni nani?!.

Pasco.

Paskali asante sana, kadogo tena; at what point in time the government machineries were involved as regards to due deligence and got satified,before payment was honored

hasa kubalika kwa shareholding
 
Mh! Sasa nimejua kwanini Prof wa Kichina anapigia Chapuo KATIBA YA MAFISADI.Kweli niliambiwa na Baba kua uyaone,nimeyaona.
 
Kweli Tanzania ni shamba la bibi!mishahara ya walala hoi wanaoitwa walimu ni midogo,lakini wanasiasa na familia zao ni mabingwa wa dili za mabilioni yanayoangamiza uchumi wa nchi hii.Watanzania tuseme sisiemu imetosha itutue watanzania hili gunia la misumari tulilotwikia kwenye vichwa vyenye kipara.
 
Mh! Sasa nimejua kwanini Prof wa Kichina anapigia Chapuo KATIBA YA MAFISADI.Kweli niliambiwa na Baba kua uyaone,nimeyaona.

duh! Naona ndo umeamka baada ya kukesha kubadili wanaume Jolie Club. Haya sasa hoja hii ina uhusiano gani na escrow?
 
Back
Top Bottom