Familia ya Rais Magufuli mkiliachia hili jambo lipite bila ya kumburuza mahakamani Kabendera itakuwa ni usaliti wa karne!

Wanalima halafu WANYAMULENGE wanayachoma moto mazao ....

Wanazaliana kwa wale wanawake na wanaume WASIOUAWA kila uchao....

CCM haiongozi kwa shuruti.....watanzania hawaoni mbadala nje ya CCM....
Ww labda ndio huoni, mimi ni mtanzania na ninaona kabisa hakuna yoyote mwenye akili timamu atashindwa kuongoza hii nchi.
 
Hili la prezidaa kumshoot dead Ben saa8 niliwahi kulisikia kwa dada m1 wa kitengo. Ila nilimpuuza.
Nikaja kulisikia tena kwa jamaa fulani ambao walikuwa wakipiga story bar.

Lisemwalo lipo.
 
Ninachokiamini Kabendera hajakurupuka na kwa miaka 2 aliyotumia kuandika hicho kitabu amekusanya taarifa za kutosha hata huko alipo najua alijiandaa kwa yote hayo.

Pia ukimya wa serikali miaka 8 yote ndio umelifikisha hili suala hapa, Ben kama member mwenzetu humu thread yake ya mwisho ilikuwa ni "Ninatishiwa kuuwawa kwa kuikosoa serikali" na aliambatanisha hadi namba zilizomtishia ila kuna chombo chochote cha dola kiliwahi kuja na kutoa matokeo ya uchunguzi wa tishio hilo jibu ni hakuna.

Miezi 2 mbele Ben alitoweka na hadi leo mwaka wa 8 hajulikani alipo ndio Eric katutip kilichotokea .

Kwanza najua hiyo familia ya Magufuli wala haitoenda mahakamani maana kwa sababu kwa katiba hii rais ana kinga ya mashtaka awapo madarakani au atokapo madarakani hivyo kama wakienda mahakamani basi Magufuli hatopata mashtaka bali watu waliopo chini yake na kwa mujibu huo mnyororo wa kimamlaka katika taasisi ya urais utawaangukia wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kumbuka hata kabla ya 2023 baada ya sheria ya usalama wa taifa kubadilishwa maafisa hawakuwa na kinga ya mashtaka wala kutojulikana na hapa ndio msururu wa matukio mengi utaibuliwa ikiwa ni kama clean up ya kuisafisha taasisi sasa je nani yupo tayari kuja kutoa ushahidi kwenye kesi kama hiyo itakayohusisha vyombo vya ndani na nje ya nchi?

Kabendera hajakurupuka kuna mahali mfumo uligawanyika kuna watu walikuwa mfumoni hawakupenda yale yaliyokuwa yakiendelea na ndio walikuwa wakibutua kopo rejelea taarifa kadhaa za ile account ya Kigogo2014 kwa nyakati zile na sasa na hata kuna member humu aliwahi kutip off hii issue nimeusaka huo uzi sijafanikiwa kuupata yawezekana ulifutwa.

I stand to be corrected.
 
Nakataa kwamba Ben Saanane alipigwa risasi na Magufuli Ikulu.
Who the f... do you think you are! Eti unakataa na hapo hapo unadai dish la Kabendera limeyumba! Hivi kweli unajua aliyopitia Kabendera mkononi mwa jiwe?

Eti unakataa, were you there dude? Nadhani kama kuna mtu dish imeyumba ni wewe Nyani Ngabu. Washauri wafungue kesi and you can be their star witness!
 
Who am I? I am the muthaphuckin Nyani Son of Ngabu.

Better recognize.
 
Wamburuze mahakamani kwa kosa lipi??!!
 
Yote hayo aliyataka Magufuli mwenyewe pamoja na System yote, hayo matukio ya watu kupotea au mauaji yangefanyiwa uchunguzi na umma ukajulishwa nini kimetokea, huyu kabendera angepata wap ujasiri wa kuandika hayo??

Infection Serikali ilikaa kimya kuhusiana na kupotea kwa Ben, mim binafs nalazimika kuyaamin mandishi ya Kabendera hadi pale serikali itakapotoa matokeo ya uchunguzi wake juu ya nini kilitokea kwa Ben Saanane.
 
Hivi muuaji anakuwa na alama fulani usoni? Kwa aina ya kukera alikokuwa anamkera Ben saa 8 Mzee magu, sioni ajabu kumlipua shaba kutokana na jinsi alivyokuwa hawezi kuvumilia kukosolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…