Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #421
Yeah, na alikuwa anambaka binti yake aitwaye Jesca.Magufuli alikuwa shetani kwenye kivuli cha Binadamu. Hata Lissu anajua hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah, na alikuwa anambaka binti yake aitwaye Jesca.Magufuli alikuwa shetani kwenye kivuli cha Binadamu. Hata Lissu anajua hilo.
Ikiwa kweli tunafanyaje mkuu.Kabendera kasema Magufuli aliua yeye mwenyewe.
Bado haijawa kweli.Ikiwa kweli tunafanyaje mkuu.
Magufuli alikuwa muuaje, koma kumtetea.
Kwa hiyo ikulu wapo hao tu wa Kaunda suti.anayeamini huo uongo wa kabendera ni kichaaMbele ya watu au mbele ya "wazee wa kitengo" ambao ndio hao hao wanatumwa " kuwachinja wanaomkosoa". Nani angeweza kumuuliza chochote yule shetani!?
Pale area D si waliombwa waje , serikali ikaweka mpira kwapani sababu wanajua.Scotland Yard waje wafanye uchunguzi uone kama watakubali. Hawataki, wakae kimya.
Ww labda ndio huoni, mimi ni mtanzania na ninaona kabisa hakuna yoyote mwenye akili timamu atashindwa kuongoza hii nchi.Wanalima halafu WANYAMULENGE wanayachoma moto mazao ....
Wanazaliana kwa wale wanawake na wanaume WASIOUAWA kila uchao....
CCM haiongozi kwa shuruti.....watanzania hawaoni mbadala nje ya CCM....
Wewe bwege utakataa tu, pengine angepigwa mama yako ndiyo ungekubali.Nakataa kwamba Ben Saanane alipigwa risasi na Magufuli Ikulu.
Alimbaka yule aliyekunywa sumu na kujinyonga mwaka 2012. Siyo huyu JescaYeah, na alikuwa anambaka binti yake aitwaye Jesca.
Who the f... do you think you are! Eti unakataa na hapo hapo unadai dish la Kabendera limeyumba! Hivi kweli unajua aliyopitia Kabendera mkononi mwa jiwe?Nakataa kwamba Ben Saanane alipigwa risasi na Magufuli Ikulu.
Who am I? I am the muthaphuckin Nyani Son of Ngabu.Who the f... do you think you are! Eti unakataa na hapo hapo unadai dish la Kabendera limeyumba! Hivi kweli unajua aliyopitia Kabendera mkononi mwa jiwe?
Eti unakataa, were you there dude? Nadhani kama kuna mtu dish imeyumba ni wewe Nyani Ngabu. Washauri wafungue kesi and you can be their star witness!
Mamako alibakwa na Magu?Wewe bwege utakataa tu, pengine angepigwa mama yako ndiyo ungekubali.
Wamburuze mahakamani kwa kosa lipi??!!Katika madai yote dhidi ya Rais Magufuli, hili dai la huyu mwandishi Eric Kabdendera, kuwa Rais Magufuli alimuua Ben Saanane kwa kumpiga risasi ya kichwa hapo Ikulu [nasadiki ni Ikulu ya Dar], ni dai kubwa na zito sana.
Ni kashfa kubwa sana. Kwa mtu tu wa kawaida, kutuhumiwa kuua mtu mwenzio si jambo dogo. Seuze Rais wa nchi?
Wengi wetu kwa sasa tutakuwa tumeshaiona hii excerpt ya hicho kitabu:
View attachment 3190381
Napata wakati mgumu sana kuamini kuwa Rais Magufuli anaweza kumuua kijana wa Kitanzania, ambaye ni mtu mdogo sana, in the grand scheme of things, kwa mikono yake mwenyewe tena kwenye nyumba ya wananchi, Ikulu.
Tumeshawazoea akina Lissu na wenzake kuropoka na kutoa tuhuma za ajabu ajabu bila kutoa wala kuonyesha ushahidi wowote ule zaidi ya kusema ‘nimeambiwa’ au ‘niliambiwa’.
Lissu keshawahi kusema mara kadhaa kuwa baada ya Magufuli kufariki, eti nyumbani kwake yalikutwa mabulungutu ya mahela, dola za Kimarekani, kwenye mamilioni.
Bila ushahidi wowote ule zaidi ya ‘kuambiwa’, tuhuma hizo zinabaki kuwa ni porojo tu za Lissu.
Na ndo maana pengine hata familia ya Rais Magufuli haijawahi kusema wala kufanya chochote dhidi ya madai hayo.
Ila hili la Magufuli kutuhumiwa kuwa ni cold-blooded murderer, si la kawaida na halipaswi kupuuziwa.
If not true, what Kabendera did is libelous and should sued.
Mimi si mtaalamu wa sheria za Tanzania. Lakini naamini sheria za libel zipo.
Licha ya kwamba Rais Magufuli alikuwa ni public figure, kuna vitu huwezi kuvisema dhidi yake bila ushahidi.
Tuhuma za mauaji kwa mtu yeyote yule, humtia doa kubwa sana kwenye jamii, mtu huyo.
Majuzi hapa tumeona kituo cha televisheni cha Marekani, ABC, kilikubali kumlipa Rais Trump $15 milioni kwa sababu mmoja wa watangazaji wake alisema kimakosa kuwa Trump alipatikana na hatia ya ubakaji wakati si kweli.
Kubaka ni moja ya makosa yanayompa mtu doa la maisha.
Uuaji, kwangu mimi, ni kosa lililo juu ya ubakaji.
Sasa huyu jamaa Kabendera anakuja na tuhuma nzito namna hiyo tena kwa Rais mzima bila hata ushahidi wowote ule zaidi ya kusema kaambiwa na vyanzo vyake.
Hapana kwa kweli. Tuhuma kama hizo ni nzito sana kuachwa hivi hivi tu, la sivyo kama ni za ukweli.
Familia ya Rais Magufuli ikimwacha huyu jamaa bila kumburuza mahakani akatoe testimony yake huko under the penalty of perjury, itakuwa ni usaliti mkubwa sana kuwahi tokea nchini.
Yaani kabisa Rais Magufuli ampige risasi ya/za kichwa huyo Ben Saanane hapo Ikulu, halafu watu wa Magufuli waichukue maiti yake na kwenda kuitupa kwenye moto Rufiji?
Vigumu sana kuamini hilo.
Familia ya Rais Magufuli ni lazima ichore mstari mchangani na kuchukua hatua.
La sivyo, mtatufanya watu kama mimi tuamini kuwa yanayosemwa ni ya kweli.
Libel.Wamburuze mahakamani kwa kosa lipi??!!
Kulikuwa na sababu gani za kumtesa vile jela?? What was the motive behind??Libel.
Nani aliteswa?Kulikuwa na sababu gani za kumtesa vile jela?? What was the motive behind??
Yote hayo aliyataka Magufuli mwenyewe pamoja na System yote, hayo matukio ya watu kupotea au mauaji yangefanyiwa uchunguzi na umma ukajulishwa nini kimetokea, huyu kabendera angepata wap ujasiri wa kuandika hayo??Katika madai yote dhidi ya Rais Magufuli, hili dai la huyu mwandishi Eric Kabdendera, kuwa Rais Magufuli alimuua Ben Saanane kwa kumpiga risasi ya kichwa hapo Ikulu [nasadiki ni Ikulu ya Dar], ni dai kubwa na zito sana.