Tetesi: Familia ya Ruge ni kati ya familia za kuigwa katika mirathi

Tetesi: Familia ya Ruge ni kati ya familia za kuigwa katika mirathi

Acha ubishi wa kijinga, sawa.....
JANUARY MAKAMBA aligusia tayari walikua wanaandaa harusi nzuri tu kabla hajafa kwenye speech ya mazishi (which means tarehe ya ndoa ilikua imepangwa sio kama hao wako uliowataja)
Wewe kama ni kataa ndoa, kataa kwa immaturity yako ya kushindwa kumudu kuendesha familia acha kupakazia watu uongo uongo.

Halafu watoto wa nje huwa wanapata migao yao kama kawaida labda familia ya mwanaume wawe mazombie au mama mjengo awe na roho mbaya yeye binafsi
Hebu acha kutudanganya kitoto hivyo. Mtu yuko ICU alafu ndugu wawe wanaandaa harusi? Kadanganyane na January wako sio huku kwa sisi wenye akili timamu
 
Hebu acha kutudanganya kitoto hivyo. Mtu yuko ICU alafu ndugu wawe wanaandaa harusi? Kadanganyane na January wako sio huku kwa sisi wenye akili
Akili zako zenyewe hazikutoshi so stick to your bubble
 
Back
Top Bottom