Tetesi: Familia ya Ruge ni kati ya familia za kuigwa katika mirathi

Tetesi: Familia ya Ruge ni kati ya familia za kuigwa katika mirathi

Endelea kusubiri meli Airport
Lakini ungekua na akili kidogo tu, ungeelewa kwamba children are expensive na hela wanayoenda kupewa kwa niaba ya watoto inatua mzigo mkubwa sanaaaa.
Kwa mfano tu mtu akipata 250M kwenye mgao after makato na expenses, 10% return once fixed ni 25M kwa mwaka which is 2+M per month, hiyo hela unalea mtoto bila stress na akikua bado anakua na fungu lake.....

AU ULITAKA MZIMU WA JAMAA UFUFUKE UJE KUWA UNAPLAY PHYSICAL DADDY ROLES?

All in all uwe unauliza maswali yenye akili kidogo sawa?
Sawa! Ila umeangalia zaidi kwenye pesa, je ni kweli pesa ni kila kitu kwa watoto?
 
Kumbe Regina hahusiki kwenye kuendesha IPP,

Umehadithiwa au upo kwenye management, kama haupo kwenye management na hufanyi kazi IPP, hayo unayoyaongea ni hear says maana nachojua Regy kaanza kuingia toka mzee wake yupo hai na
sawa demu wa regy, unawashwawashwa sana na klyn, hakuwa sehemu ya mada ila umemwingiza, ulitamani kuwa yeye?
 
Mimi ruge kanifurahisha kugoma kwake kuoa baada ya kugundua kazaa watoto wengi na wamama tofauti tofauti.

Hii imepunguza sana migogoro kwenye mirathi yake.

Angekuwa amemuoa mwanamke mmojawapo..mirathi ingekuwa na usumbufu mwingi sana. Wanawake wana tamaa sana hasa wakiwa na cheti cha ndoa.

Bilionea Msuya ni mfano hai ya wake wa ndoa walivyo na tamaa
yes uko sahihi.
Na kwa mgao huo, wamefurahi kimya kimya kufa kwake.
kwani wasingeweza kupata pesa nyingi kihivyo.
 
Wazazi wake na Ruge sio maskini.

Ruge kazaliwa Marekani miaka ya 70s.

Imagine miaka ya 1970 baba na mama tayari wanaishi Marekani.

Ruge baba yake professor UDSM na mama yake Ruge pia ni PHD holder anafundisha UDSM.

Familia ya Ruge sio familia ya kina kajamba nani. Ya kugombania urithi
Familia ya Bw. Machache je?
Ni tabia tu za watu wala havihusiani sana na umasikini.
 
Ndivyo walivyo amua kuzigawa hivyo
Ina maana zama angezaa watt wa4 angeondoka karibia na pesa yote duh
Hahahaaa...wengine wanatamani nao wangezaa watoto wawili au zaidi!
Yaani zimegawanya Kwa idadi ya watoto nadhani itakua statement ya urithi ndo inasema hvyo
 
Familia ya Bw. Machache je?
Ni tabia tu za watu wala havihusiani sana na umasikini.
Binafsi Mimi ndio ningekuwa mMoja wa watoto wa Bwana Machache, ningefanya kama walivyofanya. Siwezi kuwalaumu najua wanachopigania.
 
Ukitaka watoto wengi kwa kutegemea mwanamke mmoja akuzalie hao watoto. Jitahidi umuoe mapema sana. Kabla hajazidi miaka 20 awe ameshaanza kukuzalia..

Wanawake wanapata mimba zisizo na changamoto wanapokuwa wadogo.

Ila ukioa mwanamke wa miaka 28 ama 30. Hawezi kukuzaliwa watoto wanne ama watano. Labda apate mimba za mapacha
Wengine tuna mitambo ya kutotolesha baba mpaka mimba tunaziogopa na nimeanza kuzaa ndani ya 30 hapa mimba 2 watoto 5
 
Wengine tuna mitambo ya kutotolesha baba mpaka mimba tunaziogopa na nimeanza kuzaa ndani ya 30 hapa mimba 2 watoto 5

Hongera sana Yaelekea umepiga mapacha dabo dabo.. mimba moja watoto watatu na mimba nyingine watoto wawili

Nipe na mie nioe mdogo wako. Maokoto yapo ya kutosha tu.

Napenda sana watoto
 
Hongera sana Yaelekea umepiga mapacha dabo dabo.. mimba moja watoto watatu na mimba nyingine watoto wawili

Nipe na mie nioe mdogo wako. Maokoto yapo ya kutosha tu.

Napenda sana watoto
Mdogo angu yuko 30 nawe unataka wa 20 hana vigezo kwako
 
Back
Top Bottom