Tetesi: Familia ya Ruge ni kati ya familia za kuigwa katika mirathi

Tetesi: Familia ya Ruge ni kati ya familia za kuigwa katika mirathi

Duuuh unatema checheeeee....
Hyo Grid kumbe ipo...
Ujue hawa mastaa wanafanya grid ionekane kama genereta tuu aisee..
Ukiwa unafata masharti unadumu tu...
I know someone anakunywa for more than 13 yrs and nadhani ni kati ya wale watu wa mwanzo mwanzo dawa zilipoingia, yupo anadunda tu mstaafu na hana lifestyle ya kubembeleza mwili
 
Watoto wanne Feza...pa year 28milions....kumbe ada sio nyingi...
Umeangalia wapi??? Wale watoto huwa mama yao anawapost jengo la feza international, so kama wanasoma Cambridge zingatia ada hapo chini
 
Attachments

  • Screenshot_20240119_144356_WPS Office.jpg
    Screenshot_20240119_144356_WPS Office.jpg
    193.6 KB · Views: 5
Ruge kafariki akiwa na miaka 50. Nandy alikuwa kachumbiwa kienyeji ili imani izidi. Kama alivyomchumbia Zamaradi ila kumuoa akagoma.

Ruge kuchumbia kienyeji kaanza zamani. Ila ndoa haoi, Mwanzoni kabisa alimchumbia dada anaeitwa Beza ambaye alizaa nae first born wake anaitwa Mwachi
Ruge alibakisha kidogo ugonjwa ndio ukawa serious, ila ndoa ilikiws final stages
 
Ukiwa unafata masharti unadumu tu...
I know someone anakunywa for more than 13 yrs and nadhani ni kati ya wale watu wa mwanzo mwanzo dawa zilipoingia, yupo anadunda tu mstaafu na hana lifestyle ya kubembeleza mwili
Ila ukiangalia huo mzunguko wake kwa hao wa jasiri muomgoza njia ni hatarii..ila wote wapo na wote wamezaa watoto..kweli dawa zinasaidia...
 
Ila ukiangalia huo mzunguko wake kwa hao wa jasiri muomgoza njia ni hatarii..ila wote wapo na wote wamezaa watoto..kweli dawa zinasaidia...
Inategemea alivipata lini..... mke wa RDJ mwanae mkubwa kiasi so may be ni zilipendwa, wakuangaliwa hapo ni zamaradi na waliomfata.
 
Wamama wamebutua kombolelaa, 300M mbna nyingi wakiwa na akili ya kufanyia jambo la maana., woiiiih
Sana yule bite mwenye mtoto anaelingama na shuby amezaa na mzungu mwanawe mwingine nadhani
Yule demu alijua kumkomesha Zama jamani kaahh...hahahaa
 
Bil 2 gawanya 6 inakuja ngapi?
Au sbb ye ana watt 2?
Hivi hao 4 alizaa na kina nani?
Wawili zama
Mmoja mkewe romy Jones
Mkubwa sijui kazaa na nani
Mmoja kazaa na dada mmoja hivi alipata umaarufu baada ya kudate na ruge anaitwa bite ig Name cabynevarda ana kashule kake kafungua
 
Wawili zama
Mmoja mkewe romy Jones
Mkubwa sijui kazaa na nani
Mmoja kazaa na dada mmoja hivi alipata umaarufu baada ya kudate na ruge anaitwa bite ig Name cabynevarda ana kashule kake kafungua
😳Mke wa rommy, makubwa
Kwahiyo zama ana mil 600 + maana ye ana watt 2
Aloooo🙌
 
We wasema, watoto wa mercy hawakurithishwa chochote na baba yao? una uhakika? et wamesucrifice kujenga empire? motie angekuwa hai ningekubaliana na wewe, huyo wa kike anajua nn zaid ya kusagana, huyo wa kiume naye si boya tu kama boya wengine, amechangia nn kwenye mali za mzee? kama baba yake alimpa option abuni biashara au afungue kampuni amsupport yeye et anafungua studio halafu et anawarekodia wasanii bure, huyo mtu au kiazi, motie ndo alikuwa anajua anachokifanya hao wengine famba tu.
Hivi U&I entertainment ilikua inamilikiwa na huyu au nimechanganya desa?
 
pongezi kwa familia ya ruge, Ngoma ingekuwa yamoto kwa ndugu zangu wa kibororoni na pale same.
Yaani mchepuko TU unadai "Marehemu kauachia mali zote hata watoto hawana chao". Nani atakubaliana na ujinga huo.!?
 
Back
Top Bottom