Familia ya Sauli yaeleza miradi watakavyoisimamia, watoto watakavyoishi

"Alikuwa mpenzi sana na watoto wake, ndio maana hata kwenye ajali alikuwa na mwanaye mdogo ambaye alijeruhiwa kidogo,
Inafikirisha sana mzazi kutembea na mtoto mdogo wa umri ule safarini na muda ule. Mama yake mtoto alikuwa wapi hadi wawe wawili tu kwenye gari?
 
Mimi mara nyingine huwa Natalia ya kutembea na wanangu haswaa kwenye ruti za go and return, chap chap
 
Anyway, labda tungejua muda huo wa alfajiri aliopata ajali alikuwa akisafiri kutoka wapi na akienda wapi. Lakini kama ilikuwa ni safari ya kwenda mbali yeye pekee yake na huyo mtoto wa miaka minne bila kuwepo mama yake au msaidizi wa kumbeba huyo mtoto sichelei kusema haijakaa sawa kabisa. Maana mtoto huyo hata kumfunga seat belt ni ngumu na pia dereva hawezi kuendesha huku kampakata mtoto mdogo. Nitaelewa tu pale nitakapoeleweshwa.
 
Yap sema mshikaji alikua na hela mazee connection ya madini anayo kwenye damu toka muda mrefu sana na pia huyu Mwamba mimi nilikua namkubali sana kwa sababu ya uthubutu wake kuliko wawekezaji wengi..
Tofuati na mabai na mgodi aliwekeza kwenye nini? RIP
 
Anyway, labda tungejua muda huo wa alfajiri aliopata ajali alikuwa akisafiri kutoka wapi na akienda wapi. Lakini kama ilikuwa ni safari ya kwenda mbali yeye pekee yake na huyo mtoto wa miaka minne bila kuwepo mama yake au msaidizi wa kumbeba huyo mtoto sichelei kusema haijakaa sawa kabisa. Maana mtoto huyo hata kumfunga seat belt ni ngumu na pia dereva hawezi kuendesha huku kampakata mtoto mdogo. Nitaelewa tu pale nitakapoeleweshwa.
Pana viti vyao mkuu vya watoto au..
 
Back
Top Bottom