mimimnyenyekevu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 737
- 1,002
[emoji23][emoji23][emoji23]Mmmmmmhmn hilo toleo la wanaume vilaza liliacha kutolewa miaka ya 1980. Kuanzia miaka ya 1990 kulitolewa toleo jipya la wanaume ambao upuuzi wa kuwekeana mitego ya malezi ya watoto wa wanaume wengine hauwaingii.
Yaani wewe ukapate watoto zaidi ya m'moja na mtu ambaye mnafanya maamuzi hayo kizembe zembe tu bila kutazama hatima yenu huko mbeleni halafu ukisha ya koroga unaanza kutumbua macho na kutaka huruma za jamii.
Hiyo haipo babu. Aliyekatika kiuno na kumwaga bao ndie atalea watoto wale. Uanaume ni kuzaa tu hovyo kama ng'ombe wa nyama ila kulea mnaanza sukumia vijana wa watu. Mxiem [emoji19][emoji19]
Waachie hao watoto si damu yao we utazaa wengineHabari za eid pili waungwana,
Iko hivi, nimejaliwa kuzaa watoto wawili wa kiume na bwana mmoja. Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo, hatukuoana na huyo bwana. Watoto wote nilikuwa naishi nao kwangu, huku tukisaidizana malezi. Yeye alishaoa kama miaka mitatu nyuma.
Kama miaka miwili nyuma nilipata changamoto kazini na mambo mengi yalitokea upande wangu hivyo sikuwa stable kuendelea kuishi na watoto. Tulipojadiliana pande zote, wazazi wake wakasema niwakabidhi watoto wawalee hadi hapo nitakapo kuwa sawa.
Basi watoto nikawapeleka kwao, nikawa na still huwa naenda kuwatembelea pindi nipatapo nafasi pamoja na kuchangia gharama za ada na mahitaji mengine ya watoto.
Muda umeenda, nimerudi kwenye fomu, na nimeona nahitaji kuwachukua watoto niwalee sasa, yaani niishi nao huku nilikohamia kikazi. Wazazi wake bwana yule wamekuja na wazo kuwa, familia yao imeamua jamaa anitolee mahari kwa mujibu wa mila zao, so wamenambia niifahamishe wazee wangu ili taratibu zifanyike.
Binafsi sijaafiki suala hilo, kwani jamaa alishaoa na kashazaa watoto wengine wawili kwa mkewe. Hata mila za kwetu haziafiki jambo hilo, isitoshe mimi niko na mtu wangu ambaye tuna plan zetu za hapo baadae kidogo, naona kama ni mbinu ya kunizuia kuchukua wanangu.
Hebu mnipe ushauri wadau, namna gani naweza kuwachukua watoto bila kuleta mikwaruzano?
Hapo kuna changamoto ok wakweliKimila Mwanamke akishalipiwa mahari ndio tayari kashaolewa huyo, kinachobaki ni sherehe tu.
Wamesema wanataka kumlipia mahari na sio kulipa fidia au kugomboa watoto.
Wanataka wauwe Ndege wawili kwa jiwe Moja yaani kujihakikishia watoto wameingia kwenye mamlaka yao na Mwanamke hatoki kwenye familia yao.
Maana yake wanamtaka mkamwana wao hivyo Ndoa ni lazima hapo ila mahusiano yenu kila mmoja yatateteleka na kuvunjika
Habari za eid pili waungwana,
Iko hivi, nimejaliwa kuzaa watoto wawili wa kiume na bwana mmoja. Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo, hatukuoana na huyo bwana. Watoto wote nilikuwa naishi nao kwangu, huku tukisaidizana malezi. Yeye alishaoa kama miaka mitatu nyuma.
Kama miaka miwili nyuma nilipata changamoto kazini na mambo mengi yalitokea upande wangu hivyo sikuwa stable kuendelea kuishi na watoto. Tulipojadiliana pande zote, wazazi wake wakasema niwakabidhi watoto wawalee hadi hapo nitakapo kuwa sawa.
Basi watoto nikawapeleka kwao, nikawa na still huwa naenda kuwatembelea pindi nipatapo nafasi pamoja na kuchangia gharama za ada na mahitaji mengine ya watoto.
Muda umeenda, nimerudi kwenye fomu, na nimeona nahitaji kuwachukua watoto niwalee sasa, yaani niishi nao huku nilikohamia kikazi. Wazazi wake bwana yule wamekuja na wazo kuwa, familia yao imeamua jamaa anitolee mahari kwa mujibu wa mila zao, so wamenambia niifahamishe wazee wangu ili taratibu zifanyike.
Binafsi sijaafiki suala hilo, kwani jamaa alishaoa na kashazaa watoto wengine wawili kwa mkewe. Hata mila za kwetu haziafiki jambo hilo, isitoshe mimi niko na mtu wangu ambaye tuna plan zetu za hapo baadae kidogo, naona kama ni mbinu ya kunizuia kuchukua wanangu.
Hebu mnipe ushauri wadau, namna gani naweza kuwachukua watoto bila kuleta mikwaruzano
Tukisema single mother kichefu chefu wanawakaHizi ni kauli ambazo zinakupa ishara huwa huko mbeleni huyu mwanamke atakuwa bado analeta mazoea na huyu jamaa na pengine wanaweza kuendelea kwa usiri.
Wanawake wa siku hizi wanapenda sana mambo ya hovyo hovyo. Mahusiano ambayo hayana mbele wala nyuma.
Wanao waowags sijui wanakosaga nnTakataka kabisa hawa viumbe wacha tu wawe wanasemwa vibaya.
Nimecheka sana hii comment yako ndugu nafurahi kusoma mawazo ya aina tofauti humu ila hii yako ni kali ya mwaka, you're not right at all.Hapo kubali ili waje kupata stahiki zote upande wa Baba yao.
Hivyo ni kisheria...
Mie ni mkristo mama,Tena mkristo Mkatoliki🙏mitala kwetu no 🤣 anyways ngoja mwaka,panapo mjaliwa uishe tuone yatakayojiri.Naendelea kusoma maoni yenu na definitely yatakayo endana na mipango ya maisha yangu nitayafanyia kazi 🙏Nimecheka sana hii comment yako ndugu nafurahi kusoma mawazo ya aina tofauti humu ila hii yako ni kali ya mwaka, you're not right at all.
Why akubali?
Hao wazazi ni wapuuzi ikiwa mtoto wao ni mkristo kwa kutoa ushawishi wa namna hiyo.
Kama ishu ya watoto wa nje ya ndoa kutambulika na kupata stahiki yao RITA ipo, wamshauri mtoto wao mapema sana aende akaandikishe warithi wake kupitia wosia au waende kwa mwanasheria kwasababu hakuna anayejua kesho sio blah blah za kutaka kumbania mwanamke wa watu asipate neema ya ndoa ya halali na mwanaume mwingine ikiwa mtoto wao ana ndoa ya awali ambayo ni halali.
Tambua hapa duniani kila mwanamke anataka mume wa kujenga nae familia huru isiyo na chembe ya wasiwasi wala migongano.
Hapo hao wazazi wanamuona mkwe (Mke wa ndoa ya halali) ni kizingiti aidha hawampendi kwa sababu wanazozijua wao aidha kagoma kulea watoto wa nje ya ndoa sasa wanamlaghai binti wa watu, mwisho wao watakuja jifia watamuacha matatizoni wakati huo mtoto wao yupo ndoani na mkewe wa halali wakifurahia maisha huyu anabakia kutangatanga kwa jutia kufanya maamuzi ya kipuuzi yatakayosababisha abakie kuwa mchepuko wa kudumu kisa wazazi walimuingiza mtegoni akanasa.
Binti huo mtego unasue otherwise utakuja jutia maisha yako yote uliyobakia nayo hapa duniani,achana na hao wazee fikra zao duni tu otherwise kama nyote ninyi ni waislamu ukubali ndoa ya mitala.
Niambie wewe fidia ni IPI kwa mwanamke uliomzalisha bila kumuoa na unataka watoto watambulike katika ukoo wenu.Nimecheka sana hii comment yako ndugu nafurahi kusoma mawazo ya aina tofauti humu ila hii yako ni kali ya mwaka, you're not right at all.
Why akubali?
Hao wazazi ni wapuuzi ikiwa mtoto wao ni mkristo kwa kutoa ushawishi wa namna hiyo.
Kama ishu ya watoto wa nje ya ndoa kutambulika na kupata stahiki yao RITA ipo, wamshauri mtoto wao mapema sana aende akaandikishe warithi wake kupitia wosia au waende kwa mwanasheria kwasababu hakuna anayejua kesho sio blah blah za kutaka kumbania mwanamke wa watu asipate neema ya ndoa ya halali na mwanaume mwingine ikiwa mtoto wao ana ndoa ya awali ambayo ni halali.
Tambua hapa duniani kila mwanamke anataka mume wa kujenga nae familia huru isiyo na chembe ya wasiwasi wala migongano.
Hapo hao wazazi wanamuona mkwe (Mke wa ndoa ya halali) ni kizingiti aidha hawampendi kwa sababu wanazozijua wao aidha kagoma kulea watoto wa nje ya ndoa sasa wanamlaghai binti wa watu, mwisho wao watakuja jifia watamuacha matatizoni wakati huo mtoto wao yupo ndoani na mkewe wa halali wakifurahia maisha huyu anabakia kutangatanga kwa jutia kufanya maamuzi ya kipuuzi yatakayosababisha abakie kuwa mchepuko wa kudumu kisa wazazi walimuingiza mtegoni akanasa.
Binti huo mtego unasue otherwise utakuja jutia maisha yako yote uliyobakia nayo hapa duniani,achana na hao wazee fikra zao duni tu otherwise kama nyote ninyi ni waislamu ukubali ndoa ya mitala.
ushakubali wewe!Mie ni mkristo mama,Tena mkristo Mkatoliki🙏mitala kwetu no 🤣 anyways ngoja mwaka,panapo mjaliwa uishe tuone yatakayojiri.Naendelea kusoma maoni yenu na definitely yatakayo endana na mipango ya maisha yangu nitayafanyia kazi 🙏
🤣🤣🤣Sijakubali bana 🤣ushakubali wewe!
Mimi vile nimekasirika kwa niaba sidhani hata ningetoa aina hii ya jibu!
WAMEKUONAJEE?
Umenielewa vibaya concern yangu ni watoto,saiv niliko naishi kama bachelor,na inanifanya mpweke sana 🙏Sasa utolewe mahari ya nini?
Yani how hamuwezi kuwa na maamuzi juu ya maisa yenu wenyewe.
ACHA WAKAE NA WAJUKUU ZAO wewe endelea na maisha yako na endelea kuwa sehemu ya maisha ya wanao.
So familia ikae kuamua kukutolea mahari kama wakina nani? Mahari manake nn? KAMA NI FAINI YA KUZAA NA KIJANA WAO, WAKATOE nyumbani kwenu si wanakujua? Wewe ukaseme KWENU kwani unapeleka mchumba?
Aliyekwambia mtoto akiwa kwa babu na bibi umenyang'anywa ni nani?
Au ndo unataka utolewe mahari kujustfy kuwa unatolewa mahari kwa ajili ya waytot. SIELEWI yani!
Cc TASLIMA usipoelewa alicho andika huyu basi utakuwa na shida nduguSasa utolewe mahari ya nini?
Yani how hamuwezi kuwa na maamuzi juu ya maisa yenu wenyewe.
ACHA WAKAE NA WAJUKUU ZAO wewe endelea na maisha yako na endelea kuwa sehemu ya maisha ya wanao.
So familia ikae kuamua kukutolea mahari kama wakina nani? Mahari manake nn? KAMA NI FAINI YA KUZAA NA KIJANA WAO, WAKATOE nyumbani kwenu si wanakujua? Wewe ukaseme KWENU kwani unapeleka mchumba?
Aliyekwambia mtoto akiwa kwa babu na bibi umenyang'anywa ni nani?
Au ndo unataka utolewe mahari kujustfy kuwa unatolewa mahari kwa ajili ya waytot. SIELEWI yani!
1. Je unafikiri atawapenda watoto wa mwanaume mwingine aliye zaa na wewe kwa 100%??Kwann hanifai?kanikuta nishawazaa tayari na wala sikumficha
Mwalimu tatizo watu tunaandika mambo magumu kwa watu laini.Sasa utolewe mahari ya nini?
Yani how hamuwezi kuwa na maamuzi juu ya maisa yenu wenyewe.
ACHA WAKAE NA WAJUKUU ZAO wewe endelea na maisha yako na endelea kuwa sehemu ya maisha ya wanao.
So familia ikae kuamua kukutolea mahari kama wakina nani? Mahari manake nn? KAMA NI FAINI YA KUZAA NA KIJANA WAO, WAKATOE nyumbani kwenu si wanakujua? Wewe ukaseme KWENU kwani unapeleka mchumba?
Aliyekwambia mtoto akiwa kwa babu na bibi umenyang'anywa ni nani?
Au ndo unataka utolewe mahari kujustfy kuwa unatolewa mahari kwa ajili ya waytot. SIELEWI yani!
Ngoja nami nikafute ile comment yangu chap...🤨Mwalimu tatizo watu tunaandika mambo magumu kwa watu laini.
Samahani.
Akilipiwa mahari leo, wiki kesho ikitokea kuna mtu mwingine anataka kumposa, itakaeje..!Inakua kama fidia ili watoto wakubalike katika familia