Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
Familia nzima imemkataa huoni kuna shida pahala hapo?? Achana naye huyo mwanamke.Habari zenu wakuu!
Mimi nina miaka 27 na baada ya kelele nyingi za wazazi na ndugu kutaka kuoa ikabidi niweke wazi mapenzi yangu na single mom flani hivi hapa mtaani.
Nimesikitika familia yangu haiafiki jambo hilo wakati mimi naona yule single mom ananipenda sana na hata watoto wake washanizoea tayari. Wazazi wamenigomea wakati single mom mwenyewe ana watoto wawili tu.
Nifanyeje? Hivi naruhusiwa kufunga ndoa bila wao?
Sio sawaHuyo sasa sio single maza ..huyo ni mbibi..atleast angekuwa na kachui kamoja
Unajua mie ni mzazi,nina watoto wengi wa kike na kiume,wakati wowote watoto wangu wanaweza kuwa masingo maza hivyo siungi mkono vita dhidi ya masingo mazaHabari zenu wakuu!
Mimi nina miaka 27 na baada ya kelele nyingi za wazazi na ndugu kutaka kuoa ikabidi niweke wazi mapenzi yangu na single mom flani hivi hapa mtaani.
Nimesikitika familia yangu haiafiki jambo hilo wakati mimi naona yule single mom ananipenda sana na hata watoto wake washanizoea tayari. Wazazi wamenigomea wakati single mom mwenyewe ana watoto wawili tu.
Nifanyeje? Hivi naruhusiwa kufunga ndoa bila wao?
Hatukatai ni kweli lakini matukio yanatofautiana tunaenda kulingana na mifano tunayoiona ata darasani mwalimu kabla ya kukupa swali anakupa mfano wakeUnajua mie ni mzazi,nina watoto wengi wa kike na kiume,wakati wowote watoto wangu wanaweza kuwa masingo maza hivyo soungi mkono vita dhidi ya masingo maza
Umempa muongozo wenye mwanga.Hatukatai ni kweli lakini matukio yanatofautiana tunaenda kulingana na mifano tunayoiona ata darasani mwalimu kabla ya kukupa swali anakupa mfano wake
Unajitahidi kama kijana unahustle unampat huyo single mama sio kwamba utakua na mapenzi nae ila utakua na hisia zinazotokana na huruma tu unamstili hapa na pale mnanyanyuana ikifika mahala yule mwenye mtoto akiona ananawili kidogo akigusia imo inaitikia tu mkeo ni vyepesi sana kukusahau
Mpende mjali ila hakikisha unauwezo wa kumuacha pindi akizingua tu kila la kheri mkuu
Ukioa single Mother umeoa mwiziHabari zenu wakuu!