Mimi ngoja nikwambie hivi ndugu yangu. Kama uloyasema n ukweli kaa chini na huyo mum singo muombe akuruhusu utafute binti umuoe huku mapenz yenu yakiendelea. Huyo binti utakayemuoa hakikisha umemlipia mahari na uzae nae watoto wawili after hapo maisha yaendelee kama kawaida. Kama huo msingo mum unakupenda kweli na unakutakia future nzuri atakuruhusu. Pili familia ni kila kitu maishani. Kaa nao chini uwaambie naoa ila huyu simuachi na nyie wote ni mbuzi tu msinisumbue yaan uwatusi tena kweli. Baada ya hapo wakupge ufe usiwasumbue bure. Akili yangu naijua mwenyewe. Au ni hzi mvua za asubuhi