Familia yangu imenitenga kisa ninataka kuoa single mom

Mimi ngoja nikwambie hivi ndugu yangu. Kama uloyasema n ukweli kaa chini na huyo mum singo muombe akuruhusu utafute binti umuoe huku mapenz yenu yakiendelea. Huyo binti utakayemuoa hakikisha umemlipia mahari na uzae nae watoto wawili after hapo maisha yaendelee kama kawaida. Kama huo msingo mum unakupenda kweli na unakutakia future nzuri atakuruhusu. Pili familia ni kila kitu maishani. Kaa nao chini uwaambie naoa ila huyu simuachi na nyie wote ni mbuzi tu msinisumbue yaan uwatusi tena kweli. Baada ya hapo wakupge ufe usiwasumbue bure. Akili yangu naijua mwenyewe. Au ni hzi mvua za asubuhi
 
Tuanze kwanza na swali

Watoto wawili, baba mmoja au tofauti?
 
Lakini sio wote wako hivyo,kumbuka yapo mazingira mengi sana yanayosababisha mwanamke kuwa singo maza
 
Upo 27 unataka kuoa single mom wa watoto wawili, una uhakika unatumia akili zako kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…