Familia yangu inaniingilia kwenye mambo yangu binafsi

Familia yangu inaniingilia kwenye mambo yangu binafsi

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,753
Reaction score
18,781
Hii familia nimeona sasa inataka kunipanda kichwani na kutaka kunipangia kila kitu as If mm ni kijana mdogo wa secondari, kila kitu wanataka niwafatilizie wao bila kujali mm nataka nini

Mfano nilianza ujenzi wangu mdogo mdogo wakanitafutia fundi wao ili ajenge hata hvyo fundi haja maliza kaz na tukazinguana

Sas hivi niko kwenye hatu ya upauwaji nashangaa wanataka wasimamie wao kuanzia fundi wao na pia kunialazimisha kununua Bati ya vigae wakt mm Sitaki hzo Bati, mam ameingilia kati anasema lazm nipige Bati ya vigae bila kujali vipato vyangu naumizwa sana na hali hii nakosa furaha
Ni vingi sana wananifanyia ila kwa sasa hili limezidi

Je ikitokeaa wazazi wa wanakuingilia kwenye mambo yako binafsi je unaweza kuwa peleka mahakamani
 
Hii familia nimeona sasa inataka kunipanda kichwani na kutaka kunipangia kila kitu as If mm ni kijana mdogo wa secondari, kila kitu wanataka niwafatilizie wao bila kujali mm nataka nn

MfNo nilianza ujenzi wangu mdogo mdogo wakanitafutia fundi wao ili ajenge hata hvyo fundi haja maliza kaz na tukazinguana

Sas hv niko kwenye hatu ya upauwaji nashangaa wanataka wasimamie wao kuanzia fundi wao na pia kunialazimisha kununua Bati ya vigae wakt mm Sitaki hzo Bati, mam ameingilia kati anasema lazm nipige Bati ya vigae bila kujali vipato vyangu naumizwa sana na hali hii nakosa furaha
Ni vingi sana wananifanyia ila kwa sasa hili limezidi


Je ikitokeaa wazaz wa wanakuingilia kwenye mambo yako binafsi je unaweza kuwa peleka mahakamani
Fafanua vizuri! Umeoa? Una watoto? Unaishi kwenu?
 
Wanawake mkiamua mnaweza
FB_IMG_17457531423338548.jpg
 
1. Tengua kauli "wanakuingilia"
2. Wazazi wako wamejihusisha na maamuzi yako kimaisha tokana na unavyojiweka kimisimamo juu ya tabia yako halisi.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Hii familia nimeona sasa inataka kunipanda kichwani na kutaka kunipangia kila kitu as If mm ni kijana mdogo wa secondari, kila kitu wanataka niwafatilizie wao bila kujali mm nataka nini

Mfano nilianza ujenzi wangu mdogo mdogo wakanitafutia fundi wao ili ajenge hata hvyo fundi haja maliza kaz na tukazinguana

Sas hivi niko kwenye hatu ya upauwaji nashangaa wanataka wasimamie wao kuanzia fundi wao na pia kunialazimisha kununua Bati ya vigae wakt mm Sitaki hzo Bati, mam ameingilia kati anasema lazm nipige Bati ya vigae bila kujali vipato vyangu naumizwa sana na hali hii nakosa furaha
Ni vingi sana wananifanyia ila kwa sasa hili limezidi

Je ikitokeaa wazazi wa wanakuingilia kwenye mambo yako binafsi je unaweza kuwa peleka mahakamani
Samahn Kwa maswali haya umri wako ni gani, je umeoa? Na je wew mtt wa ngap ??
 
Tatizo vijana WA siku hizi hamna maamumuzi binafsi..kila kitu mnaahirikisha watu wakiwemo wazazi na marafiki..vitu vidogo tu umeshawaambia mtaa mzima..matokeo yake unapata washauri wengiiii...
 
Back
Top Bottom