dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,753
- 18,781
Fafanua vizuri! Umeoa? Una watoto? Unaishi kwenu?Hii familia nimeona sasa inataka kunipanda kichwani na kutaka kunipangia kila kitu as If mm ni kijana mdogo wa secondari, kila kitu wanataka niwafatilizie wao bila kujali mm nataka nn
MfNo nilianza ujenzi wangu mdogo mdogo wakanitafutia fundi wao ili ajenge hata hvyo fundi haja maliza kaz na tukazinguana
Sas hv niko kwenye hatu ya upauwaji nashangaa wanataka wasimamie wao kuanzia fundi wao na pia kunialazimisha kununua Bati ya vigae wakt mm Sitaki hzo Bati, mam ameingilia kati anasema lazm nipige Bati ya vigae bila kujali vipato vyangu naumizwa sana na hali hii nakosa furaha
Ni vingi sana wananifanyia ila kwa sasa hili limezidi
Je ikitokeaa wazaz wa wanakuingilia kwenye mambo yako binafsi je unaweza kuwa peleka mahakamani
Samahn Kwa maswali haya umri wako ni gani, je umeoa? Na je wew mtt wa ngap ??Hii familia nimeona sasa inataka kunipanda kichwani na kutaka kunipangia kila kitu as If mm ni kijana mdogo wa secondari, kila kitu wanataka niwafatilizie wao bila kujali mm nataka nini
Mfano nilianza ujenzi wangu mdogo mdogo wakanitafutia fundi wao ili ajenge hata hvyo fundi haja maliza kaz na tukazinguana
Sas hivi niko kwenye hatu ya upauwaji nashangaa wanataka wasimamie wao kuanzia fundi wao na pia kunialazimisha kununua Bati ya vigae wakt mm Sitaki hzo Bati, mam ameingilia kati anasema lazm nipige Bati ya vigae bila kujali vipato vyangu naumizwa sana na hali hii nakosa furaha
Ni vingi sana wananifanyia ila kwa sasa hili limezidi
Je ikitokeaa wazazi wa wanakuingilia kwenye mambo yako binafsi je unaweza kuwa peleka mahakamani