Kama hakuna ulazima unavunga tu mkuu, sijui kama unanielewa lakini?Hakuna huo ulazima watu kuthibitisha uwepo wa Mungu ila unapinga bado unataka uthibitishiwe unasema ni haki yako.
Sio usinijibu tu bali potezea kabisa na habari za kudai kitu ambacho unaamini huwezi kupewa, huo ni ujinga haukufanyi kuonekana kwamba wewe ndio upo sahihi kwa kudai Mungu hayupo.😁😁😁😁 mkuu nikisema nisikujibu nitakua nakosea?
Ukidai yupo naomba uthibitishe ukishindwa kausha usikasikirike kwa sababu hakuna anae jaliSio usinijibu tu bali potezea kabisa na habari za kudai kitu ambacho unaamini huwezi kupewa, huo ni ujinga haukufanyi kuonekana kwamba wewe ndio upo sahihi kwa kudai Mungu hayupo.
We mbona hauvungi? We unaona watu wanashindwa kuthibitisha sasa mbona hadi leo bado unadai tu uthibitisho? Ili iweje sasa kama unajua hakuna huo uthibitisho iweje uwe unaebdelea kudai? Mbona ni ajabu kwa kweli.Kama hakuna ulazima unavunga tu mkuu, sijui kama unanielewa lakini?
Ndio nimeamua kuhoji hivyo kwa wanaodai uwepo wa Mungu ili nithibitishe uwepo wake kwelWe mbona hauvungi? We unaona watu wanashindwa kuthibitisha sasa mbona hadi leo bado unadai tu uthibitisho? Ili iweje sasa kama unajua hakuna huo uthibitisho iweje uwe unaebdelea kudai? Mbona ni ajabu kwa kweli.
Kwanini wewe usikaushe tu maana unajua hakuna huo uthibitisho? Mbona mengine unakausha na maisha yanaenda sasa iweje ung'ang'anie kitu ambacho unajua hakipo au ndio uobekane kuwa wewe ndio upo sahihi?Ukidai yupo naomba uthibitishe ukishindwa kausha usikasikirike kwa sababu hakuna anae jali
Sijataka kuonekana nipo sahihi ila napenda kujua mimi kama mimi 😊Kwanini wewe usikaushe tu maana unajua hakuna huo uthibitisho? Mbona mengine unakausha na maisha yanaenda sasa iweje ung'ang'anie kitu ambacho unajua hakipo au ndio uobekane kuwa wewe ndio upo sahihi?
Uthibitishe nini tena wakati teyari una ushajipa uhakika kuwa Mungu hakuna? Au hauna uhakika kama Mungu hakuna?Ndio nimeamua kuhoji hivyo kwa wanaodai uwepo wa Mungu ili nithibitishe uwepo wake kwel
Kuna waumini hapa wamenibishia nikaamua kukaa kimya maana nisingeweza kulumbana naoKuna mtu alienda na mwanaye..wakachajwa laki 3
Alivyotaja biashara ya kuku kutoa kijijini kuuza mjini ilinijia hii kama sababu ya tatizo.Pia hakikisha hununui kuku wa wizi huko vijijini
Kama unataka kujua wewe kama wewe basi fanya utafiti wako sio kuishia JF kudai uthibitishiwe. Kuna watu kibao walikuwa wasiokubali uwepo wa Mungu ila walikuja kukubali uwepo wa Mungu kwa kufanya utafiti wao bila kusubiri kuthibitishiwa na mtu.Sijataka kuonekana nipo sahihi ila napenda kujua mimi kama mimi 😊
Kuna kitu kimoja Waamini tunakosea.. Tumeshapewa ruhusa, njia na uwezo wa kuwasiliana na Mungu wetu moja kwa moja.. Kwanini hatuwezi mpaka tuwatafute binadamu wenzetu? Hivi unajua kinachokuponya ni imani yako na sio mikono yake?Nenda Kanisani, kafanye Maombi hapo, Tena siku hizi Mwamposa anamwekea Mkono na kumuombea mtu mmoja mmoja Kanisani...!
Mimi nimeponywa hapo Kwa Mwamposa, sijalipa hata 10,000 zaidi ya 5,000 ya Sadaka, na hakuniombea....! Nilimwambia tu Mungu vile navyoona anawagusa wengine na Mimi naomba aniguse, nikapona...!
Kama huja Imani kuza Imani Yako, kumuona yeye one to one hakukupi uhakika wa Uponyaji.
Thibitisha uwepo wa Mungu achana na blabla kama hauwezi ukiakaa pembeni sio kwamba umeshindwa ni wewe haujui tu.Uthibitishe nini tena wakati teyari una ushajipa uhakika kuwa Mungu hakuna? Au hauna uhakika kama Mungu hakuna?
Unachofanya ni kwamba haukubaliani na wenye mtazamo tofauti na wako kwamba Mungu hakuna.
Sasa Nakuthibishiaje Wakati Mimi Sijathibitisha Kwamba Naongea Na Mtu Wa Aina Gani.Hapo haujathibitisha uwepo wa huyo Mungu zaidi ya blabla zako tu za kijinga.
Sikumbuki kwakweli lakini Powder kilichokuponya ni imani yako.. Nafarijika pia kuona ulisaidikaMimi nilikua na changamoto kubwa sana, na nilishawahi kuongea na wewe inbox, Sina haja kueleza hapa mazungumzo yalikuaje...!
Ila Maombi na kuamini... Vimeniweka huru...!
Wapo Wachungaji Wana charge kweli gharama za kumuona ile one to one, ila Mwamposa hana mambo hayo.
Jf wewe ukiandika Mungu sijui kitu gani nitaomba uthibitishe kama hauwezi unakausha tu., sijaona kama ina afya wewe kunipangia namna ya kuishi mkuu😆Kama unataka kujua wewe kama wewe basi fanya utafiti wako sio kuishia JF kudai uthibitishiwe. Kuna watu kibao walikuwa wasiokubali uwepo wa Mungu ila walikuja kukubali uwepo wa Mungu kwa kufanya utafiti wao bila kusubiri kuthibitishiwa na mtu.
Hao atheists wote waliyokuja kukubali uwepo wa Mungu mbona hakuna aliyesema ulipewa uthibitisho ila wewe umezana JF upewe uthibitisho et haki yako😄😄😄
Wanataka Kuwa Maarufu Na Wengi Wao Sufuria Zimetoboka.Unangaika mkuu ndio maana nimekuuliza mbona haujawahi kumdai mtu uthibitisho wa wazazi wake kama kweli ni wazazi wake waliyomzaa ukaniambie mie ndio nifanye hivyo kwa maana wewe unangaika na habari za uwepo wa Mungu na majini ila madai mengine yasio na uthibitisho huangaiki nayo kudai uthibitisho wake.
Hakuna aliyekushikia bunduki wala kukunyima haki zako za msingi kwa kukulazimisha kukubali uwepo wa Mungu, sasa mtu akisema Mungu yupo kiuhakika wewe unapungukiwa nini? Potezea kama unavyopotezea madai mengine yasio na uthibitisho, mbona simple wala usingekuwa unabishana na watu.