Familia yangu Mke na Mtoto wangu Mkubwa wamepata tatizo la Akili naomba ushauri wakuu

Familia yangu Mke na Mtoto wangu Mkubwa wamepata tatizo la Akili naomba ushauri wakuu

Hakuna huo ulazima watu kuthibitisha uwepo wa Mungu ila unapinga bado unataka uthibitishiwe unasema ni haki yako.
Kama hakuna ulazima unavunga tu mkuu, sijui kama unanielewa lakini?
 
😁😁😁😁 mkuu nikisema nisikujibu nitakua nakosea?
Sio usinijibu tu bali potezea kabisa na habari za kudai kitu ambacho unaamini huwezi kupewa, huo ni ujinga haukufanyi kuonekana kwamba wewe ndio upo sahihi kwa kudai Mungu hayupo.
 
Sio usinijibu tu bali potezea kabisa na habari za kudai kitu ambacho unaamini huwezi kupewa, huo ni ujinga haukufanyi kuonekana kwamba wewe ndio upo sahihi kwa kudai Mungu hayupo.
Ukidai yupo naomba uthibitishe ukishindwa kausha usikasikirike kwa sababu hakuna anae jali
 
Kama hakuna ulazima unavunga tu mkuu, sijui kama unanielewa lakini?
We mbona hauvungi? We unaona watu wanashindwa kuthibitisha sasa mbona hadi leo bado unadai tu uthibitisho? Ili iweje sasa kama unajua hakuna huo uthibitisho iweje uwe unaebdelea kudai? Mbona ni ajabu kwa kweli.
 
Ndio nimeamua kuhoji hivyo kwa wanaodai uwepo wa Mungu ili nithibitishe uwepo wake kwel
 
Ukidai yupo naomba uthibitishe ukishindwa kausha usikasikirike kwa sababu hakuna anae jali
Kwanini wewe usikaushe tu maana unajua hakuna huo uthibitisho? Mbona mengine unakausha na maisha yanaenda sasa iweje ung'ang'anie kitu ambacho unajua hakipo au ndio uobekane kuwa wewe ndio upo sahihi?
 
Sijataka kuonekana nipo sahihi ila napenda kujua mimi kama mimi 😊
 
Ndio nimeamua kuhoji hivyo kwa wanaodai uwepo wa Mungu ili nithibitishe uwepo wake kwel
Uthibitishe nini tena wakati teyari una ushajipa uhakika kuwa Mungu hakuna? Au hauna uhakika kama Mungu hakuna?

Unachofanya ni kwamba haukubaliani na wenye mtazamo tofauti na wako kwamba Mungu hakuna.
 
Brother tunashauriana kiume tu hapa.
Huyo mkeo kapigwa kipapai,achana na hospital,mpeleke kwa wataalamu wa jadi.
 
Sijataka kuonekana nipo sahihi ila napenda kujua mimi kama mimi 😊
Kama unataka kujua wewe kama wewe basi fanya utafiti wako sio kuishia JF kudai uthibitishiwe. Kuna watu kibao walikuwa wasiokubali uwepo wa Mungu ila walikuja kukubali uwepo wa Mungu kwa kufanya utafiti wao bila kusubiri kuthibitishiwa na mtu.

Hao atheists wote waliyokuja kukubali uwepo wa Mungu mbona hakuna aliyesema alipewa na mtu uthibitisho ila wewe umekazana JF upewe uthibitisho et haki yako😄😄😄
 
Nenda Kanisani, kafanye Maombi hapo, Tena siku hizi Mwamposa anamwekea Mkono na kumuombea mtu mmoja mmoja Kanisani...!

Mimi nimeponywa hapo Kwa Mwamposa, sijalipa hata 10,000 zaidi ya 5,000 ya Sadaka, na hakuniombea....! Nilimwambia tu Mungu vile navyoona anawagusa wengine na Mimi naomba aniguse, nikapona...!

Kama huja Imani kuza Imani Yako, kumuona yeye one to one hakukupi uhakika wa Uponyaji.
Kuna kitu kimoja Waamini tunakosea.. Tumeshapewa ruhusa, njia na uwezo wa kuwasiliana na Mungu wetu moja kwa moja.. Kwanini hatuwezi mpaka tuwatafute binadamu wenzetu? Hivi unajua kinachokuponya ni imani yako na sio mikono yake?
 
Uthibitishe nini tena wakati teyari una ushajipa uhakika kuwa Mungu hakuna? Au hauna uhakika kama Mungu hakuna?

Unachofanya ni kwamba haukubaliani na wenye mtazamo tofauti na wako kwamba Mungu hakuna.
Thibitisha uwepo wa Mungu achana na blabla kama hauwezi ukiakaa pembeni sio kwamba umeshindwa ni wewe haujui tu.
 
Pole sana mkuu ..Kama ni tatizo la kiakili jua umeanza safari ndefu na ya gharama sana..matatizo ya akili mara nyingi ni ya kudumu na ni gharama sana kuyamudu…Ila mimi nahisi mkeo Kama sio kurogwa basi kuna kitu amepitia ambacho kimemfanya aende kwenye auto mode/psychosis. Labda amepitia stress nyingi recently sababu mkeo Angekua ana matatizo ya akili ungeshajua siku nyingi, nilisikia onset ya magonjwa mengi ni age ya 25 years this means angekuwepo nao ungeshaona siku nyingi na mtoto wako ni mdogo kuanza kuomyesha dalili hizo. Fanya yote nenda hospital ya magonjwa ya akili na pia usisahau kupata Tiba ya kiroho muone mtumishi wa Mungu ila usiende kwa waganga Huko ndio utapotea mazima….
 
Mimi nilikua na changamoto kubwa sana, na nilishawahi kuongea na wewe inbox, Sina haja kueleza hapa mazungumzo yalikuaje...!

Ila Maombi na kuamini... Vimeniweka huru...!

Wapo Wachungaji Wana charge kweli gharama za kumuona ile one to one, ila Mwamposa hana mambo hayo.
Sikumbuki kwakweli lakini Powder kilichokuponya ni imani yako.. Nafarijika pia kuona ulisaidika
 
Kama unataka kujua wewe kama wewe basi fanya utafiti wako sio kuishia JF kudai uthibitishiwe. Kuna watu kibao walikuwa wasiokubali uwepo wa Mungu ila walikuja kukubali uwepo wa Mungu kwa kufanya utafiti wao bila kusubiri kuthibitishiwa na mtu.

Hao atheists wote waliyokuja kukubali uwepo wa Mungu mbona hakuna aliyesema ulipewa uthibitisho ila wewe umezana JF upewe uthibitisho et haki yako😄😄😄
Jf wewe ukiandika Mungu sijui kitu gani nitaomba uthibitishe kama hauwezi unakausha tu., sijaona kama ina afya wewe kunipangia namna ya kuishi mkuu😆
 
Unangaika mkuu ndio maana nimekuuliza mbona haujawahi kumdai mtu uthibitisho wa wazazi wake kama kweli ni wazazi wake waliyomzaa ukaniambie mie ndio nifanye hivyo kwa maana wewe unangaika na habari za uwepo wa Mungu na majini ila madai mengine yasio na uthibitisho huangaiki nayo kudai uthibitisho wake.

Hakuna aliyekushikia bunduki wala kukunyima haki zako za msingi kwa kukulazimisha kukubali uwepo wa Mungu, sasa mtu akisema Mungu yupo kiuhakika wewe unapungukiwa nini? Potezea kama unavyopotezea madai mengine yasio na uthibitisho, mbona simple wala usingekuwa unabishana na watu.
Wanataka Kuwa Maarufu Na Wengi Wao Sufuria Zimetoboka.
 
Back
Top Bottom