Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
1. Inasikitisha kusikia eti watu wanaingia wivu watoto/wenza wakiomba nafasi za Uongozi. Ni haki hao ya kikatiba kama Watanzania wengine.
2. Tunataka Mtoto/mwenza wa Kiongozi asigombee ili tupate nini?. Amevunja kufungu gani cha Katiba?
3. Kama lawama tuzipeleke kwa Walezi/Wazazi wetu kwa kuona siasa sio mambo Yao. Hawa wenzetu wakifaidi matunda ya Wazazi wao tusione wivu na kujisikia wanyonge. Mfano Riz1 harakati za UVCCM kazianza toka miaka ya mwanzoni mwa 2000s ilikua anaweza kuahirisha mitihani pale UDSM ili kuhudhuria Mikutano ya UVCCM Dodoma. Wewe Ngumbaru mwenzangu unapata wivu bila kujua historia. Riz 1 ameleta wengi (wasio ndugu zake) kwenye siasa ikiwamo Mwigulu, Benno maliza, Mwana FA n.k ila ngumbaru tunanuna tu