Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Inasikitisha kusikia eti watu wanaingia wivu watoto/wenza wakiomba nafasi za Uongozj. Ni haki hao ya kikatiba kama Watanzania wengine
Hatuoni wivu lakini tupewe nafasi sawa ya ushindi. Wengine wanapewa ushindi kwa majina yao tu.Inasikitisha kusikia eti watu wanaingia wivu watoto/wenza wakiomba nafasi za Uongozj. Ni haki hao ya kikatiba kama Watanzania wengine
Hakika. Tuache wivu ndugu zanguWanayo haki kwa vile ni wananchi so kila mtu anafanikiwe kulingana na connections yake.
Mke wa raisi anaitwa first lady wewe Mama yako anaitwa nani?Inasikitisha kusikia eti watu wanaingia wivu watoto/wenza wakiomba nafasi za Uongozj. Ni haki hao ya kikatiba kama Watanzania wengine
Nadiriki kusema akili yako ni ndogo sana,Inasikitisha kusikia eti watu wanaingia wivu watoto/wenza wakiomba nafasi za Uongozj. Ni haki hao ya kikatiba kama Watanzania wengine
Kwa hiyo unataka Riz1 awaachie Nafasi wanyonge/ngumbaru wenzetu? Kisa Tu mnyonge mwenzetu unataka ubunge?Nadiriki kusema akili yako ni ndogo sana,
Unahis mlala hoi akasimama na rizi1 chance ya kushinda iko kwa mtanzania wa kawaida,
Nonsense
Washindane na Kenge?Si kweli familia za viongozi kupitisha watoto wao bila ushindani si sawa, au kupitisha jina moja bila ushinda, ni bora wakashindanishwa, sawa na kwenye mpira refa awe Ali Kamwe mechi ya yanga na Simba mshindi si anajulikana!?
Ni kweli kama wanaona ni kenge basi wajiteue tu me nilidhani wanaona kama watu.Washindane na Kenge?
Kikwete wanagomea bila kupigwa. Mwinyi na familia wanagombea majimbo manne!!!! Chama cha kisultani1. Inasikitisha kusikia eti watu wanaingia wivu watoto/wenza wakiomba nafasi za Uongozi. Ni haki hao ya kikatiba kama Watanzania wengine.
2. Tunataka Mtoto/mwenza wa Kiongozi asigombee ili tupate nini?. Amevunja kufungu gani cha Katiba?
3. Kama lawama tuzipeleke kwa Walezi/Wazazi wetu kwa kuona siasa sio mambo Yao. Hawa wenzetu wakifaidi matunda ya Wazazi wao tusione wivu na kujisikia wanyonge. Mfano Riz1 harakati za UVCCM kazianza toka miaka ya mwanzoni mwa 2000s ilikua anaweza kuahirisha mitihani pale UDSM ili kuhudhuria Mikutano ya UVCCM Dodoma. Wewe Ngumbaru mwenzangu unapata wivu bila kujua historia. Riz 1 ameleta wengi kwenye siasa ikiwamo Mwigulu ila ngumbaru tunanuna tu
Kavunja Sheria yeyote?Kikwete wanagomea bila kupigwa. Mwinyi na familia wanagombea majimbo manne!!!! Chama cha kisultani