Familia za Viongozi ni Watanzania wana haki ya kugombea Uongozi

Cha kushangaza ni kwamba wengi wanaolalamika hawajathubutu kuchukua fomu wala kuutaka uongozi!
 
Kavunja Sheria yeyote?
Haya ni maneno ya mnufaika wa utawala au mtu aliyevimbiwa na rushwa.
Raisi mstaafu kujengewa nyumba na seriali kama ile ya JK pale Kate ni sawa kwa mujibu wa sheria
Kwa akili yako wewe ni sawa?
Mtoto wa rais anaweza kuwekwa mahabusu pale oysterbay? Kama una amini kwamba sheria zipo kwa watu wote
 
Haki wanayo Kama walivyo raia wengine wa kitanzania
Mtu Kama ridhiwani uwezo hana wala akili hana Ila sababu baba yake ni fisadi mnyonya damu basi anabebwa, watu wakiachwa wachague wenyewe huyo zero brain hawezi kushinda
 
Mzuzuri aliua mtu pale kawe . Alimpiga risasi lakini alipewa dhamana .hii ndiyo haki wanayosema watz.
 
Wachina wanafundisha maarifa ya kujitegemea tangu mtoto akiwa chekechea, Anapokuja huku Afrika tayari keshakuwa na uwezo wa kushughulika na stadi mbalimbali za kimaisha. Wanaweza kujitegemea.

Sisi huku Afrika tunafundisha vitu vya ajabu kwenye madarasa ya awali, matokeo yake mtu ukishakuwa mkubwa huna mbinu wala stadi za ziada za kukuwezesha kuwa mbunifu, tunapofeli tunaanza kutafuta watu au mtu wa kumnyooshea vidole. Tunatafuta visingizio vya umaskini wetu!.
 
Punguza hasira Dada. Tafuta danga akupe maisha
 
Okay
 
Haki wanayo Kama walivyo raia wengine wa kitanzania
Mtu Kama ridhiwani uwezo hana wala akili hana Ila sababu baba yake ni fisadi mnyonya damu basi anabebwa, watu wakiachwa wachague wenyewe huyo zero brain hawezi kushinda
Wewe mwenye uwezo umefanyia nn Tanzania?
 
wana haki ya kupita bila kupingwa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…