Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
- Thread starter
- #21
Mtafika mbinguni mmechoka sanaNi baadhi tu, lakn ukwel ndio huo kwetu sisi waafrika, sisi ndio wabinafsi, watu wa kugombea na kuzurumiana mali za marehem!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtafika mbinguni mmechoka sanaNi baadhi tu, lakn ukwel ndio huo kwetu sisi waafrika, sisi ndio wabinafsi, watu wa kugombea na kuzurumiana mali za marehem!
Mbona hi hali iko kwote kwote kuna exemption kwa familia chache tu, ata India, Arabia Europe hiyo hali ya individual struggle ipo sanaa, tembeeni na uishi hata mwaka moja hi hali utajionea, neenda Europe utasikia wanasema "mind your own bussiness" watoto wengi huachiwa serikali, India 80% katika cast system yao ni masikini sanaa,Familia zetu, kila mmoja anatakiwa aanzie mwanzo.
Yaani hakuna mwendelezo wa maisha ya uchumi na biashara.
Eti wanakwambia kila mmoja ajipambanie...
Kama kuna mali wazee waliacha basi watu watataka ziuzwe kila mtu afe na chake, ili wajukuu nao wakianza maisha waanze kuteseka upyaaaa[emoji2][emoji2][emoji2] ukoo wote unakuwa ni wa vizazi vya wapambanaji miaka nenda rudi na hawajui wanapambania nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ndio maana kutoboa inakuwa ni ngumu sana.
Wakisha kusomesha ukapata ka degree basi ukajitegemee.
Unaanza maisha from scratch kabisa bila msaada , ila ukifanikiwa kdg tu ukoo mzima unahamia kwako.
Na hii ndo inasababisha life span ya waafrika kuwa ndogo, ushirikina,chuki, utengano wa familia, yaani full heka heka. Hii kitu imefanya familia nyingi za kiafrika kuendelea kuishi Maisha ya kimaskini.
Vita ya Umaskini inahitaji kurithishwa silaha ulizotumia kupambana hakikisha unakiachia kizazi chako ili kianzie ulipo ishia.
Tujifunze kwa Familia za kiarabu
Hii ni changamoto sana, ndo maana biashara nyingi zilizoanzishwa na wazazi zinakufa hivi hivi in the name of “ usitegemee utarithi hii biashara/duka, kajipambanie”
Kabisauz mzli umeshehen madini, vjana wenzangu tuish humu, tuanz na kuwajengea mazngra hay watt wet
Hii hali ni mbaya sana.Ndio kama hivyo, baba mkubwa ana hela baba wadogo maskini. Kinachofata ni ubaguzi wa rangi tu na dharau kwa kwenda mbele