Fananisha bandari kavu zetu za Kwala na Isaka na hii ya DP World Kigali

Watanzania tumeshindwa, tunaposhindwa ni lazima tuwawachie wanaoweza.

Unamuona Kagame ni mjinga kuwawachia DP World?
Waulize madereva waliokuwa wanaenda Kigali kabla ya bandari kushikwa na DP World na sasa, wakueleze tofauti yake.
Acha basi bashasha, unamjua Kagame au unamsikia? Unadhani anaweza kuingia mkataba wa kiboya kama wa kwenu?

Halafu ni ujinga kusema kwamba eti mmeshindwa, hivi Kuna maajabu Gani katika uendeshaji wa Bandari? Watu 50 million mnakiri upumbavu? Ndio maana mnafurahia kuitwa Wanyonge
 
Unapinga humu jf ! Kama hujaridhika wewe nenda katika Mahakama ya Johannesburg
 
Wewe pia una mgao wako humo ndio maana unakaza FUVU
Kitu ambacho hukielewi ni kuwa wakazi wa wa Dar. Bandari ndiyo kipato chetu kikuu.

Unafikiri bila Bandari Dar ingekuwa jiji. La kutsjika Duniani? Na wakuja. Mngepakimbilia mkaacha makwenu? ?
Katika soko la mizigo, wenye mzigo mkubwa ni DR Congo.. Bado mzigo wa Rwanda haujaongezeka sana kwenye soko la mizigo
Ndiyo tunaulenga huo wa Congo.

Dp World wanauteka duniani huko na kuuleta Dar.
 
Kama Samia ameshindwa kubuni vyanzo vya mapato aondoke ofisini waingie wenye uwezo

Asiuze nchi yetu kwa waarabu kwa visingizio visivyokuwa maana
 
Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali [emoji1484]

View attachment 2656975

Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuwia maendeleo.
Madam nakuheshimu simu ila sikutegemea hichi ulichoandika kwasababu watanzania hawana shida na dp world shida ipo kwenye terms of contract hapo ndio tatizo.
 
huyo Kagame naye ni muisilamu au alibadili dini na kuwa muisilamu, hebu tupe taarifa na sisi tujue.

Fikra zenu potofu zitawapa ugonjwa wa moyo jamani
 
Hizo bdiyo ukisikia fikra za kimaskini.

Bandari yetu kwa kuendeshwa na DP World tumeshajihakikishia 100% ya mizigo ya Rwanda kukutua Dar.
Sio kweli maana kuna wafanyabiashara wa Rwanda watataka kupitishia mizigo yao bandari nyinginezo kwa sababu zao binafsi. After all Rwanda inachangia asilimia ndogo ya mzigo unaopita bandari yetu ukilinganisha na nchi km Kongo
 
Ndiyo hao tumewalenga tunataka tuwavute wote watumie Dar.

Rwanda ni moja ya masoko siyo soko pekee lililolengwa.
 
Imradi sifaidiki na kitu wacha iende tu.

Tutafute wawekezaji kama hao ndiyo nchi itasonga mbele
 
Kwa migogoro aliyonayo Dp word katika uwekezaji wake nchi mbalimbali,Itakuwa na mpuuzi pekee anayeamini huu mkataba waliousaini hawa wapuuzi italeta mageuzi chanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…