Sawa mfanano kimiundombinu haupo kabisa.. lakini na wewe tuambie Je mkataba wao na wetu inafanana ? Ndugu hoja ya wapigaji sio maendeleo.. Basi ni ulinzi wa rasilimali zetu... Tunaomba msijitoe kwenye hoja ya maana.... Onesha mkataba wao na wetu basi tutakuelewa๐๐
Mtu akisoma comments za mtoa mada..unaweza conclude tumewapa DP world bandari ili tufanye biashara na Rwanda...(Rwanda inachangia kiasi gani mapato ya bandari??)