Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Tena watapata na ngoma acha tu vipele.... Palestine imebaki magofu tu kwa sasa. Hivi chanzo ni mateka tu sheikh au jamaa walikuwa wanatafuta sababu ili wawachape ndugu zetu? Hali ni mbaya sana kwa kweli.Kabisa sheikh ila kwa uwezo wa Mungu hao mayahudi watateketea vibaya sana
Hao unaweza kukuta walipanga njama ili waje kuichukua gaza yote ila kwa hakika watateketea vibaya sanaTena watapata na ngoma acha tu vipele.... Palestine imebaki magofu tu kwa sasa. Hivi chanzo ni mateka tu sheikh au jamaa walikuwa wanatafuta sababu ili wawachape ndugu zetu? Hali ni mbaya sana kwa kweli.
Weka original source. Mwananchi hawako Middle EastLaana ya Allah imeweza kuwakumba majeshi ya Isreal.
Jeshi linahaha kufanya uchunguzi wa maradhi haya ambayo yanawasumbua sana huku maradhi ya saikolojia ya kiakili kwa wanajeshi wa Isreal wakiwa yawawasumbua zaid.
Source. Mwananchi media
inaweza kuwa ni kutokana na kukaa muda bila kuoga. Natamani ungejua kuwa mungu wa kiarabu yaani "allah" hana nguvu hata tone ya kumlaani myahudi au hata Mkristo tu. ila yeye ndio amelaaniwa milele.Laana ya Allah imeweza kuwakumba majeshi ya Isreal.
Jeshi linahaha kufanya uchunguzi wa maradhi haya ambayo yanawasumbua sana huku maradhi ya saikolojia ya kiakili kwa wanajeshi wa Isreal wakiwa yawawasumbua zaid.
Source. Mwananchi media
😂Si wanasemaga Mungu ni mmoja jamaniinaweza kuwa ni kutokana na kukaa muda bila kuoga. Natamani ungejua kuwa mungu wa kiarabu yaani "allah" hana nguvu hata tone ya kumlaani myahudi au hata Mkristo tu. ila yeye ndio amelaaniwa milele.
labda Hujaelewa Hapa Mtoa Mada Anazungumzia Ghadhabu Za Mungu,wafaransa Walikataza Watu Kuvaa Abaya Ghadhabu Ya Allah Ikawafikia Wakatakiwa Wavae Mavazi Marefu Ili Wajinusuru Na Kunguni,vivo Hivo Kwa Waisrael Ndo AnachomaanishaMajeshi ya Ufaransa? Au watu? Hapa tunasema majeshi hatusemi raia
akina Ngosha Huwa Hamuelewagi Mnadandia Kwa JuuHawa ma ustadh ubwabwa ni shida sana yuko tayari kutete ujinga kisa wale ni waarabu ungejua hata huyo allah wa kiarabu hawataki wala usinge leta shobo.Mwarabu ana roho mbaya nyie acheni kabisa
Nini ambacho hujaelewa katika uliyayosoma tukufahamishe zaidi, maana unaonesha uko finyu.Hebu elezea vizuri ndugu yangu.
Nini hujakifahamu?Sijafahamu kwa kweli. Kuuliza si ujinga.
Kwa hiyo ndiyo nini?Mbona hata kunguni waliwatesa Sana watu nchini ufaransa!!
Chizi Maarifa kama Chizi Maarifa [emoji115][emoji851]Tena watapata na ngoma acha tu vipele.... Palestine imebaki magofu tu kwa sasa. Hivi chanzo ni mateka tu sheikh au jamaa walikuwa wanatafuta sababu ili wawachape ndugu zetu? Hali ni mbaya sana kwa kweli.
Wewe umeambiwa fangas ni tatizo kwa wanajeshi wa IDF na wanapukutika sasa unataka lugha gani tenaHebu elezea vizuri ndugu yangu.
Duu...😂😂so hijab inazuia kunguni.. kweli dini upofulabda Hujaelewa Hapa Mtoa Mada Anazungumzia Ghadhabu Za Mungu,wafaransa Walikataza Watu Kuvaa Abaya Ghadhabu Ya Allah Ikawafikia Wakatakiwa Wavae Mavazi Marefu Ili Wajinusuru Na Kunguni,vivo Hivo Kwa Waisrael Ndo Anachomaanisha
Its just a matter of choise. Miongoni mwa miungu miiingi duniani kote, nimeona huyo Mungu wa Ibrahim Isaka na yakobo ndiye Mungu wa kweli na ndiye aliyeumba ulimwengu wote na ndiye mweney Nguvu kuliko miungu mingine yote. including miungu ya kiarabu.Bac kwa Nini we mbongo wa mbagala kwa Aziz ally unaabudu Mungu wa wayahudi?
Hicho wewe ulicho elewa.Nini hujakifahamu?
Unajuaje kwamba yeye ndo muumba na hizi sio story tu ambazo wayahudi waliotunga zikatumika na warumi kutawala na finally wakoloni wakakuleteaIts just a matter of choise. Miongoni mwa miungu miiingi duniani kote, nimeona huyo Mungu wa Ibrahim Isaka na yakobo ndiye Mungu wa kweli na ndiye aliyeumba ulimwengu wote na ndiye mweney Nguvu kuliko miungu mingine yote. including miungu ya kiarabu.
Allah sio MunguLaana ya Allah imeweza kuwakumba majeshi ya Isreal. Jeshi linahaha kufanya uchunguzi wa maradhi haya ambayo yanawasumbua sana huku maradhi ya saikolojia ya kiakili kwa wanajeshi wa Isreal wakiwa yawawasumbua zaidi.
===
Leo ikiwa ni siku ya 81 ya mapambano kati ya Jeshi la Israel (IDF) na kundi la Hamas, imeelezwa mbali ya vifo vya mtutu wa bunduki na makombora, pia fangasi wamekuwa tishio kwenye vita hivyo.
Taarifa za hivi punde kutoka gazeti la Times of Israel zinasema mwanajeshi mmoja wa IDF amefariki dunia kutokana na fangasi huko Gaza.
“Mwanajeshi huyo aliletwa katika kituo cha matibabu Assuta Ashdod wiki mbili zilizopita akiwa na majeraha mabaya kwenye viungo vyake.
“Licha ya matibabu aliyoyapata, majeraha yalionekana kuwa sugu kutibika na baadaye askari huyo akafariki dunia,” imeeleza tovuti hiyo.
Hadi sasa takriban wanajeshi 10 wanaaminika kuambukizwa fangasi na wanaendelea na matibabu nchini kwao Israel.
Mkurugenzi wa zamani wa kitengo cha magonjwa ya kuambukiza cha Sheba Medical Center, ameiambia redio ya Kan leo asubuhi kuwa chanzo cha fangasi hao kinaaminika kuwa udongo wa ardhini ambao umechafuliwa na maji taka.
Maambukizi hayo huyapata kupitia majeraha yanayotokana na wanajeshi wanaopigana huko Gaza.
Jeshi la IDF linachunguza kama maambukizi ya fangasi hao yameanzia kwenye mahandaki ya Hamas wakati wa operesheni ya ardhini ama la.
Katika hatua nyingine, Jumuiya ya Magonjwa ya Kuambukiza ya Israeli inatarajiwa kufanya majadiliano ya dharura wiki ijayo na wataalamu wa magonjwa ya milipuko kutoka IDF na Wizara ya Afya.
Hatua hiyo inakuja kutokana na hali ya wanajeshi kuambukizwa magonjwa wakati wa mapigano ya Gaza.
Mpinzani amlaumu Netanyahu
Wakati hayo yakiendelea kuushangaza umma, televisheni ya Al Jazeera imemnukuu kiongozi wa upinzani wa Israel, Yair Lapid akisema Netanyahu 'hawezi kuendelea' kuwa waziri mkuu wa nchi hiyo.
Kiongozi huyo wa upinzani nchini humo, amesisitiza wito wake wa kumtaka Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu kujiuzulu.
“Kubadilisha waziri mkuu katikati ya vita si vizuri, lakini aliye madarakani ni mbaya zaidi. Hawezi kuendelea,” amesema.
Inaelezwa kuwa Lapid amekataa kujiunga na baraza la mawaziri la vita la Netanyahu mwanzoni mwa vita vya Israel na Hamas na amekuwa mkosoaji wa mara kwa mara wa Serikali ya mrengo mkali wa kulia ya Netanyahu.
Mwananchi