Fangasi za Ajabu zinawawatesa wanajeshi Israel, wafariki. Laana za Allah zawaandama

Fangasi za Ajabu zinawawatesa wanajeshi Israel, wafariki. Laana za Allah zawaandama

Tena watapata na ngoma acha tu vipele.... Palestine imebaki magofu tu kwa sasa. Hivi chanzo ni mateka tu sheikh au jamaa walikuwa wanatafuta sababu ili wawachape ndugu zetu? Hali ni mbaya sana kwa kweli.
Hao unaweza kukuta walipanga njama ili waje kuichukua gaza yote ila kwa hakika watateketea vibaya sana
 
Vita inapiganwa pande tatu.
1.Majini
2. Robots.
3. Watu.
 
Laana ya Allah imeweza kuwakumba majeshi ya Isreal.
Jeshi linahaha kufanya uchunguzi wa maradhi haya ambayo yanawasumbua sana huku maradhi ya saikolojia ya kiakili kwa wanajeshi wa Isreal wakiwa yawawasumbua zaid.
Source. Mwananchi media
Weka original source. Mwananchi hawako Middle East
 
Laana ya Allah imeweza kuwakumba majeshi ya Isreal.
Jeshi linahaha kufanya uchunguzi wa maradhi haya ambayo yanawasumbua sana huku maradhi ya saikolojia ya kiakili kwa wanajeshi wa Isreal wakiwa yawawasumbua zaid.
Source. Mwananchi media
inaweza kuwa ni kutokana na kukaa muda bila kuoga. Natamani ungejua kuwa mungu wa kiarabu yaani "allah" hana nguvu hata tone ya kumlaani myahudi au hata Mkristo tu. ila yeye ndio amelaaniwa milele.
 
inaweza kuwa ni kutokana na kukaa muda bila kuoga. Natamani ungejua kuwa mungu wa kiarabu yaani "allah" hana nguvu hata tone ya kumlaani myahudi au hata Mkristo tu. ila yeye ndio amelaaniwa milele.
😂Si wanasemaga Mungu ni mmoja jamani
 
Majeshi ya Ufaransa? Au watu? Hapa tunasema majeshi hatusemi raia
labda Hujaelewa Hapa Mtoa Mada Anazungumzia Ghadhabu Za Mungu,wafaransa Walikataza Watu Kuvaa Abaya Ghadhabu Ya Allah Ikawafikia Wakatakiwa Wavae Mavazi Marefu Ili Wajinusuru Na Kunguni,vivo Hivo Kwa Waisrael Ndo Anachomaanisha
 
Hawa ma ustadh ubwabwa ni shida sana yuko tayari kutete ujinga kisa wale ni waarabu ungejua hata huyo allah wa kiarabu hawataki wala usinge leta shobo.Mwarabu ana roho mbaya nyie acheni kabisa
akina Ngosha Huwa Hamuelewagi Mnadandia Kwa Juu
 
labda Hujaelewa Hapa Mtoa Mada Anazungumzia Ghadhabu Za Mungu,wafaransa Walikataza Watu Kuvaa Abaya Ghadhabu Ya Allah Ikawafikia Wakatakiwa Wavae Mavazi Marefu Ili Wajinusuru Na Kunguni,vivo Hivo Kwa Waisrael Ndo Anachomaanisha
Duu...😂😂so hijab inazuia kunguni.. kweli dini upofu
 
Bac kwa Nini we mbongo wa mbagala kwa Aziz ally unaabudu Mungu wa wayahudi?
Its just a matter of choise. Miongoni mwa miungu miiingi duniani kote, nimeona huyo Mungu wa Ibrahim Isaka na yakobo ndiye Mungu wa kweli na ndiye aliyeumba ulimwengu wote na ndiye mweney Nguvu kuliko miungu mingine yote. including miungu ya kiarabu.
 
Unajuaje kwamba yeye ndo muumba na hizi sio story tu ambazo wayahudi waliotunga zikatumika na warumi kutawala na finally wakoloni wakakuletea
 
Laana ya Allah imeweza kuwakumba majeshi ya Isreal. Jeshi linahaha kufanya uchunguzi wa maradhi haya ambayo yanawasumbua sana huku maradhi ya saikolojia ya kiakili kwa wanajeshi wa Isreal wakiwa yawawasumbua zaidi.

===

Leo ikiwa ni siku ya 81 ya mapambano kati ya Jeshi la Israel (IDF) na kundi la Hamas, imeelezwa mbali ya vifo vya mtutu wa bunduki na makombora, pia fangasi wamekuwa tishio kwenye vita hivyo.

Taarifa za hivi punde kutoka gazeti la Times of Israel zinasema mwanajeshi mmoja wa IDF amefariki dunia kutokana na fangasi huko Gaza.

“Mwanajeshi huyo aliletwa katika kituo cha matibabu Assuta Ashdod wiki mbili zilizopita akiwa na majeraha mabaya kwenye viungo vyake.

“Licha ya matibabu aliyoyapata, majeraha yalionekana kuwa sugu kutibika na baadaye askari huyo akafariki dunia,” imeeleza tovuti hiyo.

Hadi sasa takriban wanajeshi 10 wanaaminika kuambukizwa fangasi na wanaendelea na matibabu nchini kwao Israel.

Mkurugenzi wa zamani wa kitengo cha magonjwa ya kuambukiza cha Sheba Medical Center, ameiambia redio ya Kan leo asubuhi kuwa chanzo cha fangasi hao kinaaminika kuwa udongo wa ardhini ambao umechafuliwa na maji taka.

Maambukizi hayo huyapata kupitia majeraha yanayotokana na wanajeshi wanaopigana huko Gaza.

Jeshi la IDF linachunguza kama maambukizi ya fangasi hao yameanzia kwenye mahandaki ya Hamas wakati wa operesheni ya ardhini ama la.

Katika hatua nyingine, Jumuiya ya Magonjwa ya Kuambukiza ya Israeli inatarajiwa kufanya majadiliano ya dharura wiki ijayo na wataalamu wa magonjwa ya milipuko kutoka IDF na Wizara ya Afya.

Hatua hiyo inakuja kutokana na hali ya wanajeshi kuambukizwa magonjwa wakati wa mapigano ya Gaza.

Mpinzani amlaumu Netanyahu

Wakati hayo yakiendelea kuushangaza umma, televisheni ya Al Jazeera imemnukuu kiongozi wa upinzani wa Israel, Yair Lapid akisema Netanyahu 'hawezi kuendelea' kuwa waziri mkuu wa nchi hiyo.

Kiongozi huyo wa upinzani nchini humo, amesisitiza wito wake wa kumtaka Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu kujiuzulu.

“Kubadilisha waziri mkuu katikati ya vita si vizuri, lakini aliye madarakani ni mbaya zaidi. Hawezi kuendelea,” amesema.

Inaelezwa kuwa Lapid amekataa kujiunga na baraza la mawaziri la vita la Netanyahu mwanzoni mwa vita vya Israel na Hamas na amekuwa mkosoaji wa mara kwa mara wa Serikali ya mrengo mkali wa kulia ya Netanyahu.

Mwananchi
Allah sio Mungu
 
Back
Top Bottom