Fani yenye soko kubwa lakini vijana hawaijui ni ipi?

Operator naona pesa ipo asee...

Ila sijajua chuo wanasoma mda gani na ada tsh ngapi?

Na chuo gani ni kizuri kwa hapa TZ...
Operator ni kazi ina pesa sana

Wakati nikiwa fundi wa Excavator na Fork lifts nilikuwa napiga Day works za hapa na pale kama kupakia mchanga na zingine.

Nikapataga dili la kupanga makontena kwenye yard fulani siku nne mfululizo,pesa ipo yaani kipato cha kusubiri Mwezi nikucheleweshana sometimes ,
 
Acheni kulishana matango pori vijana.
Kimsingi hakuna fursa ilio bora kuliko nyingine, bali kila mafanikio yana misingi yake.
Tatizo kubwa ninalo liona kwenye hiki kizazi cha vidonge na sindano ni....
1. Uvivu na kuchagua kazi
2. Tamaa ya kufanikiwa haraka
3. Hamna nidhamu ya fedha
4. Ulevi ulio pindukia
5. Kutokua na malengo
 
Umachinga na kupiga debe
1. Umachinga na uwinga, kijana akijituma kunadisha bidhaa kwa masaa 8 hakosi 30k
2. Kupiga debe hasa abiria wa kwenda mkoani kila abiria utapata 5k hivyo ukipata abiria 10 ni 50k mfukoni bado hujaongeza na ya mzigo
3. Bodaboda hapo kijana akitoa ten ya boss na ten ya mafuta hakosi 20k inayobaki mfukoni
4. Bajaji hii unakunja mpaka 50k per day
5. Daladala hii konda na dereva wanakunja mpaka 70k per day
6. Vinyozi na masalunist hawa wanakunja zaidi 40k per day
7. Magoli ya wauza matunda na juisi point ya miwa au matunda hawa mpaka 100k faida wanalsla nayo
8. Wauza chipsi na urojo zaidi ya 50k wanakunja per day
9. Mama/babalishe wakishalipa vibarua hawakosi 50k per day
NB. Hizo kazi zinahitaji nidhamu na malengo la sivyo unaweza kaa level hiyo miaka na mikaka. Ni mhimu kidogo unachopata kukizungusha kwenye vikoba, upatu na kuwekeza kwenye biashara nyinginezo. Kifupi uwe na growth plan
 
Vijana chukueni hii ,ideas kibao
 
Kijana kama sio mvivu hafi njaa, akijiongeza kidogo anatoka kimaisha
Sana tu,ishu inakuja kijana ni bishoo hawezi kupiga debe,wala kuwa Winga ,eti watu watamuonaje.

Vijana baadhi wanataka kazi za maofisini ,
Laptop pembeni na Vitu vingine vizuri wakati hawana Elimu.

Yote Kwa yote vijana wanaojituma wapo watu wanapambana sana
 
Kupiga debe ni rahisi sana, unakuwa stand ukiona mtu ana begi mgongoni unamchangamkia unamkaribisha ofisini na kumpokea mzigo kisha anaandikiwa ticket kisha unachukua buku tano yako au zaidi, sasa hapo ugumu uko wapi?
 
Acheni kukishana matango pori vijana.
Kimsingi hakuna fans ilio bora kuliko nyingine, bali kila mafanikio yana misingi yake.
Tatizo kubwa ninalo liona kwenye hiki kizazi cha vidonge na sindano ni....
1. Uvivu na kuchagua kazi
2. Tamaa ya kufanikiwa haraka
3. Hamna nidhamu ya fedha
4. Ulevi ulio pindukia
5. Kutokua na malengo
Nakuunga mkono hoja , ila tusiache kunywa bia
 
Back
Top Bottom