Fani yenye soko kubwa lakini vijana hawaijui ni ipi?

Bwashee umewahi fanya kazi ipi kati ya hizo
 
Motivational speakers huku wakiwa majumbani mwao na vinjunga mapaja nje nje

Kuuza bar ama liquor store,

Kuchoma nyama,

Mwishoni ufugaji na kilimo....
 
Umeandika sana ila pumba tupu
 
Kwenye upiga debe nakubali. Shida hao watu sijui huvamiwa na shetani gani lilowafanya kuishia kwenye ulevi. Ila wenye malengo wanafanya maendeleo.
 
Jamaa umewasoma vizuri sana hawa jamaa, kweli kila vijana rika Wana shida Ila hawa wasasahivi ni mtihani Sana.

Mtu anapata elfu 50, weekend hiyo hiyo inaishia kwenye Pombe na Shisha
 
Jamaa umewasoma vizuri sana hawa jamaa, kweli kila vijana rika Wana shida Ila hawa wasasahivi ni mtihani Sana.

Mtu anapata elfu 50, weekend hiyo hiyo inaishia kwenye Pombe na Shisha
Inasikitisha sana aiseee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…