Fanya haya endapo basi ulilomo ghafla linaanza kupinduka…

Japokuwa huu mkeka una odd 2 lakini una high probability of loosing

Stake high: No
 
Ukibanwa na kukandamizwa huko huko ndio kwishney kabisa..
 
Hizi ni porojo tu, nakumbuka mwaka 2001 nilikuwa nadrive gari nikaingia kwenye T bila kusimamia kwa sababu ilikuwa mtaani, basi jamaa yangu akaniambia ona garibinakuja speed Kali, badala ya kukanyaga breki nimpishe spite Mimi nikakanyaga moto, jamaa alijitahidi sana kunikwepa lakini alinigonga mbele na kwa speed aliyekuwa nayo ile gari ilipinduka matairi juu, ndio nashuhudia ajali kwa macho yangu na Mimi nikiwa muhusika na nimesababisha ajari kwa kosa la kutosimama kwenye T.

Hizi porojo zako umeandika bila kujuwa uhalisia hali huwa inakuwaje.
 
Ligi inaanza
Siyo ligi, wala hajui lolote, nimepata ajari Mbaya za gari Mara mbili na Mungu amenilinda sikupata hata mchubuko.

Hii ajali ya Pili Mimi sikuwa nadrive mshkaji ndio alikuwa anadrive, ghafla tai road ikapoteza mwelekeo na tupo high way gari likaanza kuyumba tena gari ndogo to saloon car, ikapiga kwenye mende ya Scania tukatupwa mbali gari ilipaa kama unavyoona ndege inapaa.

Wote tulitoka Salama bila hata mchubuko.

Huyo hajui ajali anajambajamba tu.
 
Tunza hii..ipo siku itaokoa maisha yako, na ni maamuzi ya sekunde chache tu yanayoweza kutofautisha destiny yako ya kufa au kupona
Nimekubali kila kitu kwenye uzi wako. Mwenyezi Mungu ameupa ubongo wa Mwanadamu kuweza kuprocess billions of issues and draw best conclusions within microseconds. Hasahasa binadamu anapokuwa kwenye "Flight, Fright, Fight Mode". Suala la msingi ni kuishinda panick zile sekunde chache ajali inapotaka kutokea.

Sema wanaoamini haiwezekani wataendelea kuamini, wenzao wanaoamini inawezekana wanaamini.
 
Bro, mimi pia nimeshapata ajali. Nilifanya maamuzi ndani ya sekunde chache na maamuzi yangu yaliniokoa.

Umesahau habari ya yule bwana aliyeokoka ajali ya treni ile ya Dodoma? Aliyekuwa miongoni mwa abiria wachache waliopona kwenye behewa lake?

Mifano ipo mingi ya survivors wa ajali na their stories behind survival.

Issue kubwa ni how do you beat the panick.
 
Genius tueleze kwenye ndege unajiokowa vipi?
 
Pia nimeshawahi kuwepo kwenye basi ambalo halikupata ajali but liliponea kidogo sana. Behaviors au niseme how many people reacted ni chanzo cha kifo.. Wakati unakuta wachache wengine wameweza ku maintain calmness.
 
We ugeongea kwa ufupi Tu, tusipende kukaa viti vya dirishani, mbele sana au nyuma sana na tufunge mikanda.
Sasa kwa taarifa yako seat za mbele ndio angalau zina usalama has a upande wa dereva.

Mimi siku zote nikikata tickets kwa booking lazima nichukuwe seat ya kwanza nyuma ya udereva.

Safari nzima unakuwa unaishuhudia, na kama kuna vitu sifanyagi ni kulala ndani ya basi mkiwa safarini.
 
Genius tueleze kwenye ndege unajiokowa vipi?
Mzee, ajali unaongelea ndege, mabasi ya abiria yenye watu wa tabia tofauti, private cars, meli, train etc. Mbona unaanza ku narrow down? Kwanza jamaa hajaongelea ndege... Hata hivyo, hukumsikia yule mmojawapo wa survivors wa Precision na survival instinct zake? Yule aliyekuwa amekaa seat za mbele kama nakumbuka vzr watu waliokufa zaidi kwenye ile ni waliokaa mbele.

Unaikumbuka pia survival story ya mkurugenzi wa BRELA kwa ajali ya MV Bukoba? Not sure kama bado ni Mkurugenzi.. Lkn kwa survivors ukiwasikia mkuu utaona kuna element moja ya survival knowledge, ikiwepo kuwa mtulivu. Mwenye huu uzi amesema vema, kwamba siyo kwamba hautokufa, ila ukiwa na hiyo knowledge na ukiweza kuwa calm enough atleast kuitekeleza unaongeza chances za ku survive.
 
Watu wanauchukulia poa Ushauri wa mleta mada ila mi naona amesaidia Sana katika kuokoa maisha ya watu wengi hata Kama sio kwa asilimia 💯.

Tatizo binadamu wa ckuiz Ni wabishi Sana.
 
Kukaa karibu na dereva unachosha akili yako maana kila muda miguu yako inafunga break
 
Hizi ni mbinu zipo worldwide mkuu, mkanda ni kitu cha lazima ila haya anayoongea hata kwenye ndege(nasikia) wanatoa ushauri wa namna hii ili kupunguza impact.
Kwenye ndege ile brace brace lengo sio kufungua mkanda ni kuinama ili usiumie zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…