Fanya hivi ukikutana na wanyama hawa porini

Nliwahi kutana na chui mara mbili, mara ya kwanza ilikua usiku usafiri ulizingua tukiwa maeneo ya porini wenzangu wakawa wamelala ndani ya gari mi nkatoka dakika mbele nyingi mnyama huyu hapa Kwa wakati huo sikujua kama ni chui
 
Hahaha!
nimecheka hapo kwa simba la masimba eti ukimuona unamtoa nduki daah!

Na mamba naye ndani ya domo lake unamtekenya tumboni akuachie!
Nashukuru hii mada imekuja wakati sijavuta.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Usijaribu, lile lilivyo atalitafuna. Unadhani kwanini Zebra wanaliwa sana?
Hawezi, simba ni mwoga sn kwa viumbe ambavyo ni vigeni kwake, na advantage ya simba ni kuona shingo ilipo ndiomana si ajabu simba ku batle na twiga ambaye ni mrefu kwakuwa tu ameiona shingo, sasa aone mnnyama mwenye vichwa viwili na jicho moja lenye nywele pasipo kuiona shingo simba atakaa mbali atahisi hatari imemfikia.
 
Kwamba mimi nimtoe baruti simba..!!! Ni simba simbaaaa, au simba simbaaa???
 
Hahahaha dah
 
Ok, Lets say upo sawa, mfano ndo umekutana nae paap,Sasa wakati unavua hizo nguo aone makalio shingo unakuwa umeiweka wapi asiione,?
 
Simba unachomoa mkanda wa kwenye suruali unamrushia atakimbia akidhani ni nyoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…