Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sadaka za madhabahuni zinanguvu mno iyo kusaidia watu ni lazima sio sadaka Mangi !!Nimependa mchanganuo wako ila ningependa kutoa ushauri..
Chukua Sadaka na Zaka Weka Kwenye Msaada..
Saidia watu sana walio na shida Usipeleke pesa kwa watu wenye Vitambi waile
😁😁Mangi baada ya mwaka tunaanza kula hela zetu huko Singapore na mia khalifaNakubaliana na kanuni yako mkuu hizi kanuni zipo nyingi na nzuri kuna nyingine inaitwa 50% 30% 20% asilimia 50 ya kipato chako iwe kwaajili ya matumizi yote uliyonayo 20% savings(akiba) 30% iwe kwenye investments shida inaanzia kwenye nidhamu ya matumizi ya pesa inahitajika akili ya mwendawazimu hapa vinginenvyo visinia vya wikendi unamuachia nani
😀😀😀😀Iyo bajeti wanaiweza mafisadi wa kuiba hela za umma ila kwa mtu anaetumia mshahara wake tu haiwezekani
Yakobo 1:27Sadaka za madhabahuni zinanguvu mno iyo kusaidia watu ni lazima sio sadaka Mangi !!
Sitokufundisha kila kitu
Kwangu mimi m-adventista msabato hiyo sadaka rudia tena kusoma somo halijakuingiaFedha inatakiwa uwe na nidhamu nayo katika kuitumia. Kanuni ifuatayo imetumika kwenye vyanzo vyako vyote vya fedha ili uwe na mafanikio yenye amani.
Kanuni
•Fungu la kumi 10%
•Akiba 30%
•Matumizi 40%
•Dharura 10%
•Msaada 5%
•Sadaka 5
Jumla 100%
Hii kanuni inafanya kazi katika kila fedha unayopata kama pato lako la mwezi.
Mfano Kama unapata Sh. Laki 5 kwa mwezi (500,000/=) fungu la 10 ni Sh. 50,000/=, hii ni mali ya Mungu si yako. Unatakiwa utoe kanisani kila mwezi, pia hata kama umepewa fedha kama zawadi unapaswa uitolee fungu la 10.
Faida za Fungu la kumi
•Hulinda kazi au biashara unayoifanya dhidi ya adui.
•Magonjwa, ajali(vitu vitakavyokufanya utumie fedha bila mpangilio) n.k yanakuwa mbali nawe.
Akiba 30
•Fedha hii unaiweka kwa matumizi yako ya baadae kama kujenga, kusomesha, kulima, vitega uchumi n.k.
mfano kama pato lako kwa mwezi ni sh. 500,00/= asilimia 30 ni sh. 150,00/=
Matumizi 40
•Fedha hii itatumika kwa matumizi ya kila siku, chakula, maji, umeme n.k
•Hutumika pia kwa matumizi mengine ya starehe, mavazi n.k
•Kama pato lako kwa mwezi ni sh. 500,000/=, asilimia 40 ni sh. 200,000/=
• angalizo matumizi yasizidi fedha hiyo.
Dharura 10
•Hii ni fedha unayotunza kwa ajili ya mambo usiyoyatalajia kama msiba, magonjwa au kukwama jambo lolote n.k.
•Kama pato lako ni sh. 500,000/= unatunza sh. 50,000/= kwa ajili ya dharura kwa mwezi.
Msaada 5%
•Hii ni fedha ya msaada kwa watu wenye shida; watoto yatima, wajane, walemavu n.k
• kama pato lako kwa mwezi ni sh. 500,000/= unatunza sh. 25,000/= kwa ajili ya msaada.
Sadaka 5%
•Kama pato lako kwa mwezi ni sh. 500,000/= tenga sh. 25,000/= kwa ajili ya sadaka kwa mwezi.
•Igawe fedha hii Mara 4 kwa sababu mwezi una jumapili 4 ambapo utapata ni sh. 6,250/=. Hivyo kila jumapili utaenda kutoa sh. 6,250/=.
Kumbuka;
Kitu chochote kinachoitwa sadaka kiombee kabla hujakitoa kama siku mbili 2 au 3 ndipo uitoe sadaka.
•Jaribu na anza hata na kidogo kidogo, kuwa na nidhamu ya fedha uone nayo itakavyokuheshimu.
NB:
#MAENDELEO HAYANA CHAMA#
Matendo ya mitumeYakobo 1:27
Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
Sasa Nionyeshe wapi Umeambiwa kutoa Sadaka na zaka kwenye AGANO Jipya
Wengine tunatumia msharaha wetu 100, inategemea unalipwa kiasi gani.Iyo bajeti wanaiweza mafisadi wa kuiba hela za umma ila kwa mtu anaetumia mshahara wake tu haiwezekani
Kwanini nisiwape wazazi wanguApo imeandika ivyo kutakana na imani yangu ila kama ni muislamu inabidi akatoe msikitini course pia wana zaka na taratibu zao
Anania haikuwa Fungu la kumi Mzee wangu anania ilikuwa Ni fedha walizokubaliana watu wote..Matendo ya mitume
Sadaka ya anania tena fungu la kumi
[emoji16]""""Mfano Kama unapata Sh. Laki 5 kwa mwezi (500,000/=) fungu la 10 ni Sh. 50,000/=, hii ni mali ya Mungu si yako. Unatakiwa utoe kanisani kila mwezi, pia hata kama umepewa fedha kama zawadi unapaswa uitolee fungu la 10.
Faida za Fungu la kumi
•Hulinda kazi au biashara unayoifanya dhidi ya adui.
•Magonjwa, ajali(vitu vitakavyokufanya utumie fedha bila mpangilio) n.k yanakuwa mbali nawe."""
Hii akiona Kiranga
Hewa itabadilika hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fungu la 10 wizi mtupuFedha inatakiwa uwe na nidhamu nayo katika kuitumia. Kanuni ifuatayo imetumika kwenye vyanzo vyako vyote vya fedha ili uwe na mafanikio yenye amani.
Kanuni
•Fungu la kumi 10%
•Akiba 30%
•Matumizi 40%
•Dharura 10%
•Msaada 5%
•Sadaka 5
Jumla 100%
Hii kanuni inafanya kazi katika kila fedha unayopata kama pato lako la mwezi.
Mfano Kama unapata Sh. Laki 5 kwa mwezi (500,000/=) fungu la 10 ni Sh. 50,000/=, hii ni mali ya Mungu si yako. Unatakiwa utoe kanisani kila mwezi, pia hata kama umepewa fedha kama zawadi unapaswa uitolee fungu la 10.
Faida za Fungu la kumi
•Hulinda kazi au biashara unayoifanya dhidi ya adui.
•Magonjwa, ajali(vitu vitakavyokufanya utumie fedha bila mpangilio) n.k yanakuwa mbali nawe.
Akiba 30
•Fedha hii unaiweka kwa matumizi yako ya baadae kama kujenga, kusomesha, kulima, vitega uchumi n.k.
mfano kama pato lako kwa mwezi ni sh. 500,00/= asilimia 30 ni sh. 150,00/=
Matumizi 40
•Fedha hii itatumika kwa matumizi ya kila siku, chakula, maji, umeme n.k
•Hutumika pia kwa matumizi mengine ya starehe, mavazi n.k
•Kama pato lako kwa mwezi ni sh. 500,000/=, asilimia 40 ni sh. 200,000/=
• angalizo matumizi yasizidi fedha hiyo.
Dharura 10
•Hii ni fedha unayotunza kwa ajili ya mambo usiyoyatalajia kama msiba, magonjwa au kukwama jambo lolote n.k.
•Kama pato lako ni sh. 500,000/= unatunza sh. 50,000/= kwa ajili ya dharura kwa mwezi.
Msaada 5%
•Hii ni fedha ya msaada kwa watu wenye shida; watoto yatima, wajane, walemavu n.k
• kama pato lako kwa mwezi ni sh. 500,000/= unatunza sh. 25,000/= kwa ajili ya msaada.
Sadaka 5%
•Kama pato lako kwa mwezi ni sh. 500,000/= tenga sh. 25,000/= kwa ajili ya sadaka kwa mwezi.
•Igawe fedha hii Mara 4 kwa sababu mwezi una jumapili 4 ambapo utapata ni sh. 6,250/=. Hivyo kila jumapili utaenda kutoa sh. 6,250/=.
Kumbuka;
Kitu chochote kinachoitwa sadaka kiombee kabla hujakitoa kama siku mbili 2 au 3 ndipo uitoe sadaka.
•Jaribu na anza hata na kidogo kidogo, kuwa na nidhamu ya fedha uone nayo itakavyokuheshimu.
NB:
#MAENDELEO HAYANA CHAMA#
Mungu kwenye vitabu vitakatifu hajaagiza hivyo!Sadaka, msaada na fungu la kumi zote kitu kimoja..
Peleka kwa wenye kuhitaji kweli..
Hata ukisoma Wakorintho 16.2 hakuna sehemu wanalazimisha kutoa fungu la 10. Ila makanisa wameona kama mtaji, mengine wanaenda mbali kujua vipato vya watu ili wakamue vizuri.hilo fungu la 10 na sadaka bora nikasaidie wenye uhitaji
Kasome Yak 1:26-27