Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

Nakubaliana na kanuni yako mkuu hizi kanuni zipo nyingi na nzuri kuna nyingine inaitwa 50% 30% 20% asilimia 50 ya kipato chako iwe kwaajili ya matumizi yote uliyonayo 20% savings(akiba) 30% iwe kwenye investments shida inaanzia kwenye nidhamu ya matumizi ya pesa inahitajika akili ya mwendawazimu hapa vinginenvyo visinia vya wikendi unamuachia nani
 
😁😁Mangi baada ya mwaka tunaanza kula hela zetu huko Singapore na mia khalifa
 
Sadaka za madhabahuni zinanguvu mno iyo kusaidia watu ni lazima sio sadaka Mangi !!
Sitokufundisha kila kitu
Yakobo 1:27

Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.



Sasa Nionyeshe wapi Umeambiwa kutoa Sadaka na zaka kwenye AGANO Jipya
 
Ni bora ungesema 10% badala ya fungu la 10 iwe ndio msaada kwa mayatima na wahitaji wengine badala upeleke kwa mchungaji ambae unamkuta bar jioni
 
Kwangu mimi m-adventista msabato hiyo sadaka rudia tena kusoma somo halijakuingia
 
Matendo ya mitume
Sadaka ya anania tena fungu la kumi
Anania haikuwa Fungu la kumi Mzee wangu anania ilikuwa Ni fedha walizokubaliana watu wote..

Baada ya watu wengi Kuongezeka waliokubali Injili iliyokuwa Ikienezwa na Petro..walihitaji Kupatikane Pesa zaidi za kusambaza injili hiyo Na kusaidia watu wenye Uhitaji hivyo kwa Hofu ya Mungu watu walijitoa sana Kusaidia wengine wenye Pesa walipeleka..

Wale wenye Mashamba walipeleka..
Na hata Yusuph aitwaye Barnaba yeye aliuza shamba lake lote na kupeleka fedha kwa mitume..

Matendo 4:32-37


Sasa kilichotokea kwa Anania ni kwamba Alichagua sehemu ya Shamba Akaliuza ilutakiwa ile pesa aipekeke kwa mitume ila akachukua Baadhi ya pesa na kuzificha akapeleka Nusu Pesa..

Na ndo maana Petro anamuuliza kuwa kilipokuwa Shambani hakikuwa Mali yako??

Maana angeweza kutoa Kipande kidogo tu cha shamba akauza na kingine akauza kwa matumizi yake na kingine kwa matumizi ya kutoa..

Ila alipotia Nia kwamba anauza kwa sababu Ya Mungu hapo ndo ilipoleta shida..

Nakuacha utafakari maSwali haya Kilipokuwa Kwako hakikuwa mali yako?, kilipokuwa Kimekwisha kuuza thamani yake Haikuwa kwa uwezo wako??

maana alikuwa Na uwezo wa Kuuza Kidogo na pia alikuwa na Uwezo wa kupandisha Thamani na kuchukua kiasi alichoahidi kupeleka na kiasi kingine kutumia..

MIND YOU HAIHUSIANI NA SADAKA WALA ZAKA HIYO NI MAKUBALIANO WALIYOWEKA NA ANANIA ALIYAVUNJA
 
[emoji16]
 
Fungu la 10 wizi mtupu
 
hilo fungu la 10 na sadaka bora nikasaidie wenye uhitaji

Kasome Yak 1:26-27
Hata ukisoma Wakorintho 16.2 hakuna sehemu wanalazimisha kutoa fungu la 10. Ila makanisa wameona kama mtaji, mengine wanaenda mbali kujua vipato vya watu ili wakamue vizuri.
Hivi fungu la 10 ni sahihi kwa kipindi hiki ambacho wengine tunakatwa 30% ya mshahara? Kama kodi?
 
Upo sahihi Sana
Hela ukiipata toa kiasi kadhaa kama 5% kiende kwa MTU ambaye hana kitu

Ila mwisho wa siku nidhamu ndo itaamua ubaki na hela au uwe masikini.

Kujithibiti ndo kila kitu ,maana kuna watu wanakesha msikitini na kanisani Ila ni masikini wa kutupwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…