Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

Yaani bora niwadaidie wenye uhitaji kuliko kupeleka kwenye nyumba ya ibada
 
Watoto yatima na maskini tunawaona bado tunadanganyana kutoa fungu la nyoko.

Range wanazoendesha ndio fungu la kumi.

Nina mate tumemaliza wote chuo kikuu kwa sasa wanamiliki makanisa ya uswahikini. Yaani huu ni uhuni. Wameomba mkopo board wakasomeshwa sasa wanakwenda kudanganya raia
 
Na hiyo 10% ya zaka itoke kwenye gross income au net income?
 
Shida sana
 
Uwa najiuliza Mungu anahitaji pesa za kazi gani.
 
Na wengi tunafeli kwenye kutoa fungu la kumi
 
Fungu la kumi sio mpaka upeleke kanisani, unaweza kupeleka kwa wahitaji.!! Wengine wanawanenepesha wachungaji huku familia zao zina uhitaji zinanuka umaskini
 
Sio mungu ata kwa shetani kuna sadaka?
Sadaka inapima moyo wa mtu
Ndio. Kuna sadaka lakini sio sadaka ya pesa. Mungu alipokea sadaka ya kuteketeza. Ilikuwa hivo hata kabla shetani hajaasi. Baada ya shetani kuasi, alianza kuendesha mambo yake mengi kwa mfanano wa Mungu. Hata katika suala la sadaka. Nae akaanza kuchua sadaka za kuteketeza, sadaka ya Damu. Kunanguvu katika sadaka ya kuteteza.

Kifo cha kristo pale msalabani kilimaliza yote. Ikiwa ni pamoja na masuala haya ya kumtolea Mungu sadaka ya damu. Ila shetwani utaratibu huo bado anao. Ndio maana hadi leo unaona watu wanatoa kafara za damu kwa ibilisi. Kwani unasikia tena watu wakitoa kafara za damu kwa Mungu?! Unasikia watu wakitoa sadaka ya pesa kwa shetani??

Sadaka ya pesa na hayo mafungu ya kumi ni wizi unaofanywa na viongozi wa dini. Havina uhusiano wowote na Mungu. Kama unataka kuitoa pesa yako kama sadaka au fungu la Kumi, tafuta mwenye uhitaji mpatie, utapata thawabu. Kuliko kwenda kutumbukiza kwenye kikapu cha sadaka ukiamini unamtolea Mungu kumbe unaneemesha wadau.
 
Whatever but toa sadaka
 
Uko sahihi,nikiwapa wazazi na baadhi ya ntakaoweza kuwasaidia mtaani kulingana na sikuhiyo nimetembeaje nadhani inatosha
 
Umefunga mjadala
 
Watumishi huwa wanawadanganye kwa kusoma kimstari kimoja tu badala ya kusoma neno kamili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…