The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
- Thread starter
-
- #421
Ha haa ha negative mkuu, hakuna kitu kizito nawaepusha enyi brfthers kuwaepuka cash vampires.Ndugu kwani umekuwa na nini?au umeshaangushiwa kiti kizito kichwa I?Ila uyasemayo kama Yana ukweli vile🤔
.... dada zako na mama zako ni wanaume??? na wao walikua source ya umaskini kwa waume zao? kubwa zima linaandika mashudu kwenye forum!Kweli kabisa na ndio chanzo cha ufukara kwa wanaume wengi!!! Fuatilia anguko kubwa la wanaume wengi waliowahi kujaaliwa kuwa na pesa na kipato hapa duniani lilikuwa ni wanawake. Ni nuksi na ni laana hawa viumbe.
Wanawake pekee ambao mwanaume ukitoa pesa yako haipotei kwako ni mama yako mzazi, mkeo, watoto wako wa kike na dada zako ila hao wengine wote wapo kimaslahi na wewe.
We umejuaje wana sura mbaya kwani umedate nao?teh teh, kuna wanaume wako willing, ku give, give, give, nyie mliododa na sura mbaya, kaeni na mahela yenu..lol....
Ukiandika mashudu utajibiwa tuuu.... sura kama kingwendu!..lolWe kinyago cha mpapure huna mamlaka ya kuniamrisha niandike nini nyambaf!!! Ptuuuuuu!!!
Napiga mstari mwekundu mkuuKweli kabisa na ndio chanzo cha ufukara kwa wanaume wengi!!! Fuatilia anguko kubwa la wanaume wengi waliowahi kujaaliwa kuwa na pesa na kipato hapa duniani lilikuwa ni wanawake. Ni nuksi na ni laana hawa viumbe.
Wanawake pekee ambao mwanaume ukitoa pesa yako haipotei kwako ni mama yako mzazi, mkeo, watoto wako wa kike na dada zako ila hao wengine wote wapo kimaslahi na wewe.
Sikulaumu kwasababu comprehension level yako ni ndogo kama punje ya hardali..read between the lines ...kenge waheed.... dada zako na mama zako ni wanaume??? na wao walikua source ya umaskini kwa waume zao? kubwa zima linaandika mashudu kwenye forum!
Wewe una tatizo la uelewa, mwenyewe hajabisha hapo kama ana sura mbaya, wewe ni nani mpaka upinge?lolWe umejuaje wana sura mbaya kwani umedate nao?
Wewe unayeandika mashudu humu kwenye forum ndio una question my intelligence?! unachekesha kweli wewe...Sikulaumu kwasababu comprehension level yako ni ndogo kama punje ya hardali..read between the lines ...kenge waheed
Mpango ni kuepuka cash vampires wakijipenyeza achana nao mind you bussinessUmeua Mwamba big up to you
Sibishani na bipolar mimi!!! Wewe ukijiangalia unajiona upo sawa kweli!!! Yaani watu kwenye huu uzi wameshakutoa thamani kabisa...btw una kipaji kizuri cha uchekeshajiWewe unayeandika mashudu humu kwenye forum ndio una question my intelligence?! unachekesha kweli wewe...
Mkuu nakufananisha na jamaa mwingine humu anaitwa Robert heriel....nyie ni watu ambao mnahimiza na kutukumbusha wanaume turudi kwenye uanaume wetu tutoke kuwa B-male na kuwa Alpha males.Mpango ni kuepuka cash vampires wakijipenyeza achana nao mind you bussiness
hahhahah huna hadhi ya kuwa Psychiatrist,una diagnose watu huwajui..mpuuzi tu wewe...eti wameshanitoa thamani, unadhania kila mtu yuko twisted kama nyie?! kila mwanamke ana price tag?!!.... i dont give a https://jamii.app/JFUserGuide wewe au anybody else anavyonifikiria..usijihangaishe ndugu, mkiandika mashudu tutawajibu tu...yaani bampa to bampa!Sibishani na bipolar mimi!!! Wewe ukijiangalia unajiona upo sawa kweli!!! Yaani watu kwenye huu uzi wameshakutoa thamani kabisa...btw una kipaji kizuri cha uchekeshaji
Mkuu nakufananisha na jamaa mwingine humu anaitwa Robert heriel....nyie ni watu ambao mnahimiza na kutukumbusha wanaume turudi kwenye uanaume wetu tutoke kuwa B-male na kuwa Alpha males.
Asanteni sana. Msichoke kupost hamjui tu posts zenu zinabadilisha maisha ya watu wangapi humu.
Namuonea huruma sana mwanaume mwenzangu aliyenasa (atakaenasa)ktk mtego wa feminist kama huyo rebeca. Hawa ndio type ya wale wanawake wanaokusababisha utoke mvi kabla ya wakati wako.Lakini pia wanaume wenzangu pia mjiepushe sana sana na wanawake wajuaji kuna mwanamke ukioa ni toxic kwa amani yako, yani kua nae ni kukaribisha matatizo, please take note. Just a bonus.
Nitamfuatilia mkuu, pia asante kwa kua open minded. Heads up, stay away from cash vampires kaka.Mkuu nakufananisha na jamaa mwingine humu anaitwa Robert heriel....nyie ni watu ambao mnahimiza na kutukumbusha wanaume turudi kwenye uanaume wetu tutoke kuwa B-male na kuwa Alpha males.
Asanteni sana. Msichoke kupost hamjui tu posts zenu zinabadilisha maisha ya watu wangapi humu.
Namuonea huruma sana mwanaume mwenzangu aliyenasa (atakaenasa)ktk mtego wa feminist kama huyo rebeca. Hawa ndio type ya wale wanawake wanaokusababisha utoke mvi kabla ya wakati wako.
Sometimes nawaza watu kama kina marehemu Said wangekuwa wanapita kwenye forums kama hizi basi mitazamo yao juu ya kuwapenda na kuishi na wanawake ingebadilika sana.Nitamfuatili mkuu, pia asante kwa kua open minded. Heads up, stay away from cash vampires kaka.
hihiii marehemu said yule alikua ni mke wake,si mmesema mnahudumia wake na sio sijui nini, hujielewi wewe...Sometimes nawaza watu kama kina marehemu Said wangekuwa wanapita kwenye forums kama hizi basi mitazamo yao juu ya kuwapenda na kuishi na wanawake ingebadilika sana.
Hakika kifo cha mwamba kimeniuma sana, jamaa ndio kwanza alikua anaanza kuyapatia maisha ghafla uzembe kiduchu wa kutowatambua hawa viumbe, upendo uliopitiliza, kuinvest too much na kutohimili hisia ikapelekea mauti kwake, majonzi kwa family na jamii.Sometimes nawaza watu kama kina marehemu Said wangekuwa wanapita kwenye forums kama hizi basi mitazamo yao juu ya kuwapenda na kuishi na wanawake ingebadilika sana.