Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuna mmoja akaniomba elf 5,nikampa. Akaniomba 20k nikwambia na mimi naomba k. Akasema basi ameomba kama bro. Nikamwambia niwe nakupa tu hela burebure kwani mimi sina ndugu wa kike wenye shida?

20 unalalamika man?
Me nliombwa 70[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante kwa ukarimu wako mkuu, hyo ya kunitumia ongeza pale kwenye mtaji wako mkuu nitafurahi kusikia umefanikiwa kibiashara
Mungu akusimamie mkuu, kuna kipindi huwa nasema kusingekuwa na wanawake duniani ingekuwa sehemu salama pa kuishi na wanaume wote tungeenda peponi
 
Bro nimechoka kutype ila I can say
Sisi wanawake tunazeek mapema kama mnabosema tukifika 30 jua limezama. Asa na mfano anakutana na wewe huelewek ka utamuoa unataka umtumia ajabu ni ipi na yeye akakutumia??

Kama unataka free muoe utapewa free ka huna mpango wa kumuoa leo wala kesho inamaana unamtumia so kubali na ww utumike
 
Manaume yale yako twisted, yamejazana humu kwenye hii topic, stop treating women like shit, wapuuzi tu nyie

Kwendaa, siji kufanya kazi kwa watu wanaotreat wanawake like shit wacha nife na shida zangu.
Wewe makumaku nenda kaoshe hiyo sambusa nyie sio viumbe kabisa wa kuishi na ninyi nyumba moja.
 
Mkuu[emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
Ama kwa hakika umeongea point sana

Wadada walio wengi wanangalia unafuu wao pekee
Ningeandika mengi ila niishie hapa
 
Endeleni kutupa madini mkuu Akili zituingie
 
Asa huon we cay say hapa dada alikupenda na wewe ulimpenda

the case is closed , wanaolalamika humu most hawapendwi na shoshi zao.
Nimependa ulivyokua composed mkuu ukiwajibu, labda utabadilisha perceptions zao, ila wengi hapa ni wanachukia wanawake tu, ishu sio pesa hata kidogo, mchukia wanawake utamjua tu, kwanza ataleta topic za kuponda wanawake, atatumia lugha chafu kwenye hio topic, akitokea mwanamke akam challenge utaona atakavyoitwa mala*ya, feminist, huwaga hawaonagi tabu kutoa mastusi ya nguoni kwa mwanamke anayewachallenge, yote hio underlaying cause ni chuki tu kwa wanawake!!!....mimi nataka ku dig deeper, labda tutakuja na solution ya kuwasaidia hawa waliokuwa confused when it comes to women, mkuu usiondoke please......

..eti mkuu mtoa mada Unpaid Seller eti chuki yako imetoka wapi??? ...kwa nini umetokea kuchukia wanawake??????

1. Mimi nahisi,Mzee wake alikua mpole sana, na mama alikua mkali, mama ndie alikuwa anasimamia miradi yote ya familia japokuwa baba ndie aliyekua na kipato zaidi ama breadwinner, mtoto akajijengea perception, women are there to take only...

2. Mama yake hakua anamuonyesha real love baba yake, yaani mama hakumuonyesha mume wake anampenda wala kumjali, na alifanya hivi wazi wazi, ndio maana mtoto hajui kama watu huwa wanaweza 'kupendana' anajua mume na mke wapo pamoja kutafuta mali tu, si ajabu 'mtoto' nae ameendeleza tradition kwa kumuoa mtu successful sio kwamba amempenda bali anajua kwamba they are there kutengeneza future kwa ku acquire mali, na sio kutengeneza a happy home...

3. ..Wanawake tusiwe wakali kupitiliza especially kwa watoto wa kiume, tunawaacha confused, inawa affect mahusiano yao yajayo na wanawake, wanakua makatili sana dhidi ya wanawake,kama tunataka kujenga jamii iliyostaarabika kila mwanamke achukue active role ya kuhakikisha mambo yake kifamilia yako balanced, mtoto i(especially wa kiume),wewe mama unaweza kum discipline without being too harsh,...

4, Again kama tunataka kujenga jamii yenye upendo then tusiwaonyeshe waume zetu jeuri,au kuwaonyesha waziwazi kuwa hatuwapendi na kuwajali, hii ina send signal mbaya sana kwa watoto wa kiume...

5. Perherps mtoa mada ni zao la broken home?? unhappy marriage....?!

peace!
 
Manaume yale yako twisted, yamejazana humu kwenye hii topic, stop treating women like shit, wapuuzi tu nyie

Dadaangu pole
Usichukue hili jambo personal
Liache kama ni la wote
Ila ki ukweli akina dada wengi wanajiangalia wao kwanza
Hawapo kimaisha
Hawaamini kwenye kutafuta bali kwenye kutumia tu
 
If you think about this scripture in more detail, you will really hate women.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Yaani hapa nimevurugwa sana,hii scripture inaongea 85-90% ya uhalisia napia hali hyo inachangiwa na dini zetu pia juu wajibu wacmwanume juu yakutoa namwanamke kupokea
 
Mkuu naomba nikujibu mimi,

Kuna huyu binti ambaye nilikuwa namuhudumia kama mke wangu wa ndoa, na nilijitoa kwake kwa hali na mali, alikuwa anamleta mpaka kaka yake ili nimsaidie, ila mwisho wa siku karudiana na ex wake akamzawadia na ujauzito

Sasa mimba inampelekesha anahitaji nikamuone kwake na kanithibitishia kabisa kwamba mimba ni ya ex wake aliyerudiana nae
Na yeye mwenyewe anajua ni kiasi gani nilikuwa nampenda, na nilishamwambia zaidi ya mara tatu kuhusu kupeleka posa kwao ila amekuwa akinipiga chenga huyu nae unamiweka kundi gani?

Maana anajua kabisa mimi nilikuwa nataka kumuoa na sikuwa na nia ya kumtumia ila yeye ndo ananitumia mimi

Kifupi mambo yaliyotokea ni mengi mpaka naona wanawake wote ni mbwa tu hawaridhiki kwa wanachokipata
 
Dadaangu pole
Usichukue hili jambo personal
Liache kama ni la wote
Ila ki ukweli akina dada wengi wanajiangalia wao kwanza
Hawapo kimaisha
Hawaamini kwenye kutafuta bali kwenye kutumia tu
labda nimetumia lugha chafu, ila ni kwa vile wanaochukiaga wanawake huwa wanatumia lugha chafu wanapoongelea wanawake, lazima tuwajibu accordingly,lol, sijachukulia personal,
 

Tena ukimkuta ni single mothers ndio kabisaaaaaaaaaaaaa
Mkuu kwa ushauri kaa mbali na huyo mtu
Kwakua ULIMPENDA ANAJUA (tena bado unampenda ) Atakuzonga zonga ujae umpige mimba
Sas jichanganye
Maji utaita mma[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…