Asa huon we cay say hapa dada alikupenda na wewe ulimpenda
the case is closed , wanaolalamika humu most hawapendwi na shoshi zao.
Nimependa ulivyokua composed mkuu ukiwajibu, labda utabadilisha perceptions zao, ila wengi hapa ni wanachukia wanawake tu, ishu sio pesa hata kidogo, mchukia wanawake utamjua tu, kwanza ataleta topic za kuponda wanawake, atatumia lugha chafu kwenye hio topic, akitokea mwanamke akam challenge utaona atakavyoitwa mala*ya, feminist, huwaga hawaonagi tabu kutoa mastusi ya nguoni kwa mwanamke anayewachallenge, yote hio underlaying cause ni chuki tu kwa wanawake!!!....mimi nataka ku dig deeper, labda tutakuja na solution ya kuwasaidia hawa waliokuwa confused when it comes to women, mkuu usiondoke please......
..eti mkuu mtoa mada Unpaid Seller eti chuki yako imetoka wapi??? ...kwa nini umetokea kuchukia wanawake??????
1. Mimi nahisi,Mzee wake alikua mpole sana, na mama alikua mkali, mama ndie alikuwa anasimamia miradi yote ya familia japokuwa baba ndie aliyekua na kipato zaidi ama breadwinner, mtoto akajijengea perception, women are there to take only...
2. Mama yake hakua anamuonyesha real love baba yake, yaani mama hakumuonyesha mume wake anampenda wala kumjali, na alifanya hivi wazi wazi, ndio maana mtoto hajui kama watu huwa wanaweza 'kupendana' anajua mume na mke wapo pamoja kutafuta mali tu, si ajabu 'mtoto' nae ameendeleza tradition kwa kumuoa mtu successful sio kwamba amempenda bali anajua kwamba they are there kutengeneza future kwa ku acquire mali, na sio kutengeneza a happy home...
3. ..Wanawake tusiwe wakali kupitiliza especially kwa watoto wa kiume, tunawaacha confused, inawa affect mahusiano yao yajayo na wanawake, wanakua makatili sana dhidi ya wanawake,kama tunataka kujenga jamii iliyostaarabika kila mwanamke achukue active role ya kuhakikisha mambo yake kifamilia yako balanced, mtoto i(especially wa kiume),wewe mama unaweza kum discipline without being too harsh,...
4, Again kama tunataka kujenga jamii yenye upendo then tusiwaonyeshe waume zetu jeuri,au kuwaonyesha waziwazi kuwa hatuwapendi na kuwajali, hii ina send signal mbaya sana kwa watoto wa kiume...
5. Perherps mtoa mada ni zao la broken home?? unhappy marriage....?!
peace!