Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Mkuu naomba nikujibu mimi,
Kuna huyu binti ambaye nilikuwa namuhudumia kama mke wangu wa ndoa, na nilijitoa kwake kwa hali na mali, alikuwa anamleta mpaka kaka yake ili nimsaidie, ila mwisho wa siku karudiana na ex wake akamzawadia na ujauzito
Sasa mimba inampelekesha anahitaji nikamuone kwake na kanithibitishia kabisa kwamba mimba ni ya ex wake aliyerudiana nae
Na yeye mwenyewe anajua ni kiasi gani nilikuwa nampenda, na nilishamwambia zaidi ya mara tatu kuhusu kupeleka posa kwao ila amekuwa akinipiga chenga huyu nae unamiweka kundi gani?
Maana anajua kabisa mimi nilikuwa nataka kumuoa na sikuwa na nia ya kumtumia ila yeye ndo ananitumia mimi
Kifupi mambo yaliyotokea ni mengi mpaka naona wanawake wote ni mbwa tu hawaridhiki kwa wanachokipata
Mkuu inaonekana wewe ni mwanaume fulani boya hadi inapelekea kulea mimba ya mwanaume mwenzio!,ina maana hata uwezo wa kumtia mimba ilishindwa hadi kusaidiwa na ex wake!