Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani


Mkuu inaonekana wewe ni mwanaume fulani boya hadi inapelekea kulea mimba ya mwanaume mwenzio!,ina maana hata uwezo wa kumtia mimba ilishindwa hadi kusaidiwa na ex wake!
 
No free lunch in america.lipa, piga , kimbia
 
Tena ukimkuta ni single mothers ndio kabisaaaaaaaaaaaaa
Mkuu kwa ushauri kaa mbali na huyo mtu
Kwakua ULIMPENDA ANAJUA (tena bado unampenda ) Atakuzonga zonga ujae umpige mimba
Sas jichanganye
Maji utaita mma[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimpige mimba wakati tayari kisharudiana na ex wake na kishambebea mimba sa hv ina mwezi mmoja
 
Mkuu inaonekana wewe ni mwanaume fulani boya hadi inapelekea kulea mimba ya mwanaume mwenzio!,ina maana hata uwezo wa kumtia mimba ilishindwa hadi kusaidiwa na ex wake!
Hapana mkuu, nilishampa yangu ila ilitoka ilikuwa ni mwaka jana,

Ex wake karudiana nae mwaka huu, maana mimi mwenyewe mambo mengi nikiona ananiletea ujinga ujinga namwambia usiniendeshe

Mimba silei na mahusiano yalishakufa tangu mwezi wa nne, ila kaniambia jana kwamba ana ujauzito wa mwezi mmoja ila kwa kuwa anajua mimi ninamjari ndo akaniambia nikamuone

Ila kiukweli namchukia na yeye hajui kama namchukia natamani nimlambe shaba manina zake
 
Mkuu inaonekana wewe ni mwanaume fulani boya hadi inapelekea kulea mimba ya mwanaume mwenzio!,ina maana hata uwezo wa kumtia mimba ilishindwa hadi kusaidiwa na ex wake!

Anaeamua kushika mimba ni mwanamke mkuu
Wew ukiamua ikiwa hajataka utafanyaje?
 

!!!
Siku akija pata shida utaona
Mambo...na bla blah kibao
Kwakweli wakati mwingine heri utafte tu danga
Akupe mapenzi umpe pesa
Kwishiney.... shida inakuja kwenye magonjwa[emoji20]
Mwisho wa siku unajikuta ume stay alone tu

Na aheri mtu aku reject mapema tu fresh ujue kabisa kua hanitaki kuliko kukubali afu ndio hivyo tena
[mention]Kelsea [/mention]
Wewentakulasahanimojanawewehadinijegangilonganaujeuishimbugani[emoji16]
 
Kuna formula moja tulifundishwa JANDONI huko, kwenye nyumba mwanaume akiwa na laki 3 na mwanamke milion 1 basi jumla ndani ya nyumba mna laki 3.Hizi hesabu huwezi elewa mpaka uingie jandoni.

Kwa kifupi hela ya mwanamke chungu, ina masimango na kejeli sababu wengi wenu wabinafsi na mara nyingi kama mkitoa hela yenu ndani ya nyumba wengi wenu hua mnaidai.Mistake kubwa sana kwa kijana kuingia kwenye maisha ya ndoa na mwanamke sababu ya hela yake, mara nyingi huishia kujuta na kusaga meno.

Mimi ndio maana ktk maisha yangu sijawahi kuipigia mahesabu hela ya mwanamke.
 
Mkuu hii ni kwa walio oana au kuzaa watoto.
Ndoa za kizungu kuachana huleta umasikini.
Kuna Mdenishi mmoja alikuwa na mshiko mrefu tu.
Tatizo alioa mara 3 na kuachana.

Wakwanza wakagawana nusu.
Wa pili wakagawana hiyo nusu.
Na wa tatu wakagawana nusu tena.

Mwishowe alikimbia Ulaya kuja Tz Karatu.
Sasa ameoa mchaga wamejenga lakini nyumba ina kiti kimoja cha kukalia.
 
Endeleni kutupa madini mkuu Akili zituingie
Take these words. Itakusaidia sana. Kuna wakati unaona sasa itakuwaje kama sina kimwana? kuwa nacho lakino kuwa makini na pesa zako zaidi hata kama ni elfu tano.

Huwa kuna woga fulani vijana tunakuwa nao. Kwamba usipokuwa unatoa basi hawatakupenda. Sio kweli. We fanya yako. Tia maendeleo watakuja wenyewe hata kama we ni bahili. Be smart
 
Huo mgawo ulikuwa kam wa Arithmetic progression😅😅😅
 
Sasa na mimi nimemwambia, "wewe ndo mwanamke wa mwisho kuthaminiwa na mimi"
Akaniuliza kwa nini, nikamjibu nyinyi ni kama mbwa hamridhiki na mnachokipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…