๐ ๐ ๐ ๐ sio kwa hasira hizo daah pole mwayaKaa mbali na mimi mkuu.
Acha kua na huruma za kijinga nduguNa kinacho tuponza wanaume ni huruma yetu.
pole ya kazi gani, sinaga time na nyinyi hamna cha kutoa zaidi ya mbunye. Sasa unanipa pole ya nini.Poleni sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sina hasira mkuu, ni kwamba sitaki mazoea ya kishamba na nyinyi.๐ ๐ ๐ ๐ sio kwa hasira hizo daah pole mwaya
Unaona hayo mambo ?! Usiwe na huruma na mwanamke kama anashida muache afe., kama anabakwa muache abakwe wewe wahi kwenye mishe zako, unaenda kumsaidia hachelewi kusema na wewe ulimbaka kisa umevaa poa anaona atavuta mpunga, hawana shkrani.Kuna mtu alinambia wanawake wanalindwa sana huko ujerumani.
Ukiwa naye hlf mkamwagana wewe dume utamlipa huyo demu nusu ya ingizo lako maisha yenu yote.
Hata kama demu amekuchoka tu akaamua mwenyewe kumove on basi dume anatakiwa kutoa salio kwa hiyo nusu asilimia.
Dem anaweza kuamua tu kukukera ili umtimue lakini anajua mwisho wa siku ana uhakika wa asilimia 50 yake.
Hakika mkuuUko sahihi sana
Hahahaaa huyo anataka kukupiga na kitu kizito... Uki-respond una nyeghe mshindo atajileta getto na kukuigizia na mapenzi ya uongo na ukweli mwisho wa siku akupige mzinga mrefu!!!Kuna mmoja ananisumbua mara baridi imezidi, nimemwambia nunua blanket, maana najua anataka hela tu, na njia rahisi ni mimi kujifanya nina nyenghe mshindo [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] this time atashangaa maana last week alianza kulalamika hajalipwa mshahara
Yani wakuu ONA HATA MFANO DHAHIRI HAPA YANI ETI "ANANIITA" NIKAMSAIDIE. Ndio walivyo hivyo shida yake ila kumsaidia ni kwamba "NIMFUATE" yani kana kwamba msaada huo ni haki yake na inatakiwa mimi ndio tena nimfuate nikamsaidie WTF sijui kama mnaona hawa viumbe walivyo wa ajabu ?!๐ ๐ ๐ njoo unisaidie mie mwaya nina shukrani
๐ ๐ ๐ sasa nahitaji msaaada ndio nakuita njoo unisaidie mbona Mungu hua tunamuita tuwapo na shidaYani waku ONA HATA MFANO HAPA YANI ETI "ANANIITA" NIKAMSAIDIE. Ndio walivyo hivyo shida yake ila kumsaidia ni kwamba "UMFUATE" sijui kama mnaona hawa viumbe walivyo wa ajabu ?!
Kaa mbali na mimi mkuu.๐ ๐ ๐ sasa nahitaji msaaada ndio nakuita njoo unisaidie mbona Mungu hua tunamuita tuwapo na shida
tuliaaaKaa mbali na mimi mkuu.
Malengo yangu yote na ziada nimeyafikia i.e happy beautful family, fabolous residences, a bunch of asset folks would only dream of, space from negativity, life without drama, a strong connection to the system and the state house, travels, holiday functions and vocations hayo kwa uchaaaache etc etc list ndefu kama mkojo wa mleviThibitisha kwanza umefanikiwa kiasi gani tangu uachane na hao viumbe!
Kwa kuanzia tu @unpaid seller ni muuzaji asiyelipwa.
Back off, kwenda mbali na mimi mkuu.tuliaaa