Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Kuna mwingine huku ananiazima laki 2.Me namchora tu
Binafsi mwanamke nakaa nao kijasusi sana. Moyo wangu ni mzuri wa kupenda na ni mzuri wa kutokupenda pia hata ijirejee kwa mwanamke huyo huyo mmoja. Malengo yangu nayasukuma ila sio yote atakayoyajua. Maendeleo yangu nayasukuma ila sio yote atakayoyajua. Ipo siku atayajua ila sio siku hii ya a,b,c..
 
Binafsi mwanamke nakaa nao kijasusi sana. Moyo wangu ni mzuri wa kupenda na ni mzuri wa kutokupenda pia hata ijerejee kwa mwanamke huyo huyo mmoja. Malengo yangu nayasukuma ila sio yote atakayoyajua. Maendeleo yangu nayasukuma ila sio yote atakayoyajua. Ipo siku atayajua ila sio siku hii ya a,b,c..
Hizo ndio strategy za kiume, big up.
 
Tatizo la haya mambo hata ujifanye kauzu vipi bado tu hutaweza kuishi mwenyewe.
Screenshot_20220603-171130.jpg
Screenshot_20220603-171153~2.jpg
Screenshot_20220603-171202.jpg
 
Back
Top Bottom