Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Tatizo umechanganya rafiki na mpenzi so nimeshindwa kukuelewa upo kwenye angle gani ya mwanamke lkn mimi nitakujibu kwa angle ya mwanamke rafiki
Mimi nimewahi kufanya research Kati ya rafiki zangu 10 wa kike na rafiki zangu 10 wakiume nikagundua ni bora niendele kuongeza marafiki wa kike kuliko wa kiume, nilipatwa na tatizo wanawake wote kumi walikuja kunifariji lkn ni mwanaume mmoja tu alikuja kunifariji kwahiyo ukiniambia wanawake hawafai kwangu mimi sitakuelewa labda kama urafiki wako uliingiza mapenzi hapo siwezi kujua
 
Mnh huyu muandishi wa hii topic kama sio yule Robert..sijui

Hautakuwa kwenye committed relationship uka enjoy Matunda ta real love, never ever ! Kwa kudhani kila mwanamke yuko kwako ku gain something...tunakupa pole kwa kweli...

Yaani wewe utakua ulikua Mchoyo sana,ulivyokua mdogo. Poor you! Sikulaumu japokua umesema una mapesa sasa hivi, lakini umekulia maisha ya shida sana, umekua surrounded na poverty ndio maana uko selfish,sababu unaona pesa ya thamani sana, not to be wasted, not to be given to anybody.... sikulaumu mazingira na experiences tunazokulia ndizo zinazofanya tuwe confused tukiwa wakubwa...

Najua utakataa lakini ukweli ni huu...

1. Umekulia kwenye umaskini.

2. Una uchoyo hata kwa ndugu zako. Eti hapo kasema , atasaidia dada zake ila sio wanawake, hao dada sio wanawake?, sema wewe ni mchoyo, hutoi hela yako/msaada kwa yoyote na sio mwanamke peke yake, art of giving, haiangalii unatoa msaada kwa nani, kiwete au mzima, ndugu au sio ndugu, whether you get something back or not, au mwanamke na mwanaume ila ukiwa mchoyo ndio utafanya tofauti na hayo mambo.... eti humsaidii mwanamke sababu she has nothing to offer than mbunye...yaani unatoa msaada to get back something ndio unapproved wwe ni mchoyo... hivyo eti?! ...basi kasaidie wanaume wenzio upate di**ck!... maana jinsia ziko mbili tu mwanaume na mwanamke , na wewe unatoa msaada kwa kuexpect something in return, haya wanaume wenzio wana offer di**ck...

3, Wewe ni mtu uliyekataliwa sana na wanawake/ rejected because of poor status ukajiapiza ukipata hela hautampa mwanamke pole weeeee

Nyie watu mliokuwa confused na malezi, msituumie hii platform ya bwana Melo, ku influence upumbavu... na wanaume wengine wameingia kichwa kwenye huu ujinga...
Duuuu! Wewe mbona inaonyeshea unekasirika zaidi ya wote, jua tu Rebeka wanawake wamekua ni changamoto sana, ukiona kilio kikubwa namna hii kutoka kwa wanaume jua hali ni mbaya mno. Mwenye kuisimulia mvua ujue imemnyeshea.
 
Duuuu! Wewe mbona inaonyeshea unekasirika zaidi ya wote, jua tu Rebeka wanawake wamekua ni changamoto sana, ukiona kilio kikubwa namna hii kutoka kwa wanaume jua hali ni mbaya mno. Mwenye kuisimulia mvua ujue imemnyeshea.

prove nimekasirika..
 
Narudia mama yako na mke wako wanastahili msaada wako wamekufaa kwa mambo mengi ila hawa kina Ashura ndara ndefu piga chini fanya mambo yako.
😂😂
Tangu nilipokua shule nilikua sitaki shobo na hawa viumbe, akiingia 18 natomb.a na kusepa sijengi kibanda ooh "baby baby" sinaga ujinga huo.
😂😂
Aisee..
Ila sasa hawakwepeki mkuu😊

Mkuu, tayari umeangushiwa kitu kizito, au?
 
Wee sii umesema mie nageggeduana na malaya cheap sasa inakuwaje tena unabadili statement yako.
Wee sie tunakula mbususu kwa raha zetu
Nimebadilisha baada ya kugundua wewe ni dada muuza nyapu...
 

Attachments

  • VID-20220530-WA0113.mp4
    4.5 MB
  • VID-20220602-WA0125.mp4
    5.1 MB
  • VID-20220601-WA0113.mp4
    4.5 MB
  • IMG-20220603-WA0091.jpg
    IMG-20220603-WA0091.jpg
    70.1 KB · Views: 30
Mleta uzi hadi umri huo bado unapoteza time kuwajadili mabinti...

Yajue ya kuzingatia,,,Vyote visivyo na mpango vitajichuja...

Vijana tunawategemea sana kwenye maendeleo ya hili taifa...
 
Back
Top Bottom