Wewe ni mwanamke pekee angalau umemchallenge mtoa mada ila dada yangu ungekuwa unajua kinachotokea kwenye mahusiano ya mapenzi ya watu wengi usingeongea hivyo mtoa nada kaungwa mkono na Wanaume kea 99.9% kwa sababu wameona kama amewakilisha watu wengi wanayopitia dada yangu wanawake wa sasa hiv asilimia kubwa wamekuwa wanaweka maslahi mbele badala ya mahusiano yawe sehemu ya kusaidiana,kuinuana, kuleteana faraja na Amani ya moyo yamekuwa sehemu ya kucreate stress, kududimizana kiuchumi na kurudishana nyuma kimaisha ile dhana ya real love imepotea hata hao wanawake unaowasemea wanashughuli za kufanya na wenye kipato nao wamekuwa wale wale ingawa sio wote kama hawa wasio na shughuli ya kufanya mwanaume amekuwa akigharamia kila kitu hiyo mishahara ya wanawake ujui inaenda wapi kiufupi hali imekuwa mbaya ndio maana unaona nyuzi kama hizi zimekuwa nyingi Sana humu Jf