Fanya yote ila usimzalie mtoto huyo mwanaume!

Wewe huwajui wanaume na nyege

Ukijua hivi vitu unaweza sema lolote

Mwanamke na vijana wa hovyo ndiyo mwa mwa mwa

Harafu kile kiherehere cha nyege baaaas
 
Wewe huwajui wanaume na nyege

Ukijua hivi vitu unaweza sema lolote

Mwanamke na vijana wa hovyo ndiyo mwa mwa mwa

Harafu kile kiherehere cha nyege baaaas
Najua vyote hivyo, ndiyo maana najaribu kuwakumbusha wasichana wasifanye maamuzi ya kudumu kwa utamu wa muda mfupi.
 
Seran , win-one na mabinti wengine.

Sisi watu wazima tukiwaonya msiwazalie wanaume wasioeleweka mnafikiri tuna roho mbaya, niliandika huu uzi baada ya kuona majibu ya wanaume kwenye uzi wa zamani wa Dkt. Gwajima kuhusu wababa na matunzo kwa watoto.

Uzi wa jana wa mama aliyekuja kuomba ushauri humu kuhusu malezi na ukosefu wa huduma kwa watoto uwakumbushe kwamba mahusiano yakiharibika, mzigo wa watoto unabaki kwako, kama haujajipanga USIZAE.


 
Huu ukweli uwaingie haswaa na wauelewe......
Na pia Kuna maisha baada ya kuzaa!!! Miyumbo mingi kwenye mahusiano huanzia hapo hasa ukizaaa na Bora mwanaume .
Malezi ni kazi haswa na hata kama mmeoana hapo ndiyo mtihani halisi wa maisha ya ndoa unaanza.

Ukijisahau na kuacha shughuli ya kiuchumi na kama familia hamna kipato cha kueleweka, damu lazima itakutoka ujifunze kama kenge.
 
Nilisoma comments za mtibeli aisee!! Nimejifunza vingi sana wanaume wana roho mbaya sana! Ni heri ujiingize kwenye mahusiano na mtu mwenye utu, hata mapenzi yakiishia unajua hatokutendea ubaya! Malezi tu lakini mtu anaona kama umeomba nyumba! Mungu aendelee kuniepushia!!🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
 
Nimesoma comments kule, nimekosa hata cha kusema, nikarudi huku kuwakumbusha muwe makini.

Mtu asiye na utu au aliyekosa huruma hata kwa damu yake, ogopa sana.
 
Nimesoma comments kule, nimekosa hata cha kusema, nikarudi huku kuwakumbusha muwe makini.

Mtu asiye na utu au aliyekosa huruma hata kwa damu yake, ogopa sana.
Dada’ake I was speechless! Na kiherehere changu chote nilibaki mdomo wazi!

Heri niendelee kubaki hivi kuliko kuendelea kuongeza matatizo mengine aisee!
 
nazidi kukuelewa sisy, kuna watu huwa wananisema "utakua unamalizia watoto chooni" as if tunakuaga wote huko chooni, mara ooh unachagua sana , ila ukweli ni kwamba sihitaji kuangukia kwenye majuto ya milele asee,, I pray hard

asante kwa kunikumbusha🙏
 
Dada’ake I was speechless! Na kiherehere changu chote nilibaki mdomo wazi!
Heri niendelee kubaki hivi kuliko kuendelea kuongeza matatizo mengine aisee!
Mimi pia nimechoka, naona kwenye replies wanaume wengi wanaignore fact kwamba mwanaume alitaka kubaki na watoto ila baada ya kuwalea kama baba yao, akaenda kuwapeleka kwa ndugu na kuwatelekeza huko. Kama haitoshi akamficha mama yao walipo so hakuweza kuwaona kwa mwaka mzima - hiyo sehemu yote wanairuka wanahoji tu kwanini awachukue watoto kama bado anataka baba awalee, wakati huyo baba hata hao watoto hakua anakaa nao.

AccountabIlity sifuri, yani wanaona kuliko watoto kupata walau malezi ya mzazi mmoja ni bora waachwe huko kwa ndugu baba awe anawahudumia kutokea huko.

Mada kama hizi huwa zinaninyong'onyesha sana, unakuta kila mtu anavutia upande wake bila kuangalia watoto wanaathirikaje. Mwisho wa siku hata hao watoto wakirudishwa walipokuwepo wanakosa malezi ya wazazi wote wawili. Inasikitisha sana 🙁, msifanye makosa ya wenza mnaozaa nao jamani!
 
Chagua, tena chagua sana, huyo ndiye mwanafamilia pekee duniani ambaye utapata nafasi ya kumchagua. Usiwape watoto wako baba wa hovyo, na akikosekana bora kuacha kuzaa kuliko kutesa watoto.
 
Walivyo akili finyu wanadai eti mama anataka kumpiga baba kupitia child support ndio yaleyale alosema ndugu yangu ERTUGRUL BEY mtu ana geto kama stoo kuchangia points za kishenzi tu! Hapo hana ata kazi ya kueleweka duhh! Yani ubongo wao na 💩 tofauti yao ni joto tu 🚮
AccountabIlity sifuri, yani wanaona kuliko watoto kupata walau malezi ya mzazi mmoja ni bora waachwe huko kwa ndugu baba awe anawahudumia kutokea huko.
Kuna wanaume wanajichetuaga sana wanipate kichaa mimi!
Nilijisikia vibaya sana! Wanabebanaga ujinga ndiomaana wanasema tumewazidi akili! Mtoa mada nahisi sukari ilipanda maana hakutegemea! Halafu nyuzi hata haiwahusu wao ni kuchangia ushuzi tu! Kama huyo fala namuonaga anavyojichetua tu kuhusu wanawake wakati nakajua kamke kake hakana hata hayo maajabu anayojisheuaga nayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…