Fanya yote ila usimzalie mtoto huyo mwanaume!

Akili zao wengine ndiyo ni kama hizo 👆zilizosemwa hapo.
Jichanganye sasa umzalie mtu kama huyu, utajua hujui!
 
Una eleme
Nt kama baba nanhii, hv kumbe mnakuwaga mnafanana, kauli na fahamu
 
Kumbe wanawake wajinga wa zamani bado mpo,nilidhani wameisha
Unawezaje kufikiri nwanaume atakufa kabla yako,kuachana "mawazo ya wakata tamaa
Ni nini mnakifuata kwenye ndoa/mahusiano ni pesa,njaa zinawapeleka huko ama tamaa?
Huo ni ubinafsi
 
Kama wewe ni mwanaume na una povu, nenda kalitapikie sehemu nyingine, huu uzi usiuguse

Kama wewe ni mwanaume na una povu, nenda kalitapikie sehemu nyingine, huu uzi usiuguse 🚫⛔!
Kwanini wanawake wanafikiri wanatuzalia watoto? Mtoto akizaliwa sio wa baba pakee, ni wa wote. Kwani kwenye maisha ndoa ni ya lazima? Cha muhimu mwanamme atoe matumizi ya mtoto na mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…