Fanya yote ila usiwe na mahusiano na mfanyakazi mwenzako kazini

Sakwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2022
Posts
246
Reaction score
883
Wakuu habari za mchana na wasalimu kijana wenu.

Sasa twende kwenye mkasa nimeshuhudia watu walio kuwa na mahusiano kazini kwa takribani mwaka na nusu hivi.

Picha lina anza walipo anza ugomvi sisi kama wana taasisi tunajulishwa ni kama vile swala la familia lina hamia kazini basi valuvalu.

Tangu walipo achana ni kama mwanamke kajipata zaidi na jamaa etu kapigika vibaya mnoo
Hata sisi tukikaa na shemeji yetu jamaa anatuona wabaya. Wakuu mkiweza acheni masuala ya mahusiano maeneo ya kazini.

Sakwe bin sakwe
Binadamu mashaka.
Muwe na mchana mwema wakuu🙏
 
Wakuu habari za mchana na wasalimu kijana wenu.

Sasa twende kwenye mkasa nimeshuhudia watu walio kuwa na mahusiano kazini kwa takribani mwaka na nusu hivi.

Picha lina anza walipo anza ugomvi sisi kama wana taasisi tunajulishwa ni kama vile swala la familia lina hamia kazini basi valuvalu.
Tangu walipo achana ni kama mwanamke kajipata zaidi na jamaa etu kapigika vibaya mnoo
Hata sisi tukikaa na shemeji yetu jamaa anatuona wabaya.
Wakuu mkiweza acheni masuala ya mahusiano maeneo ya kazini.

Sakwe bin sakwe
Binadamu mashaka.
Muwe na mchana mwema wakuu🙏
Hiyo kitu haina afya kabisa, inaweza kukuchomoa anytime
 
Wakuu habari za mchana na wasalimu kijana wenu.

Sasa twende kwenye mkasa nimeshuhudia watu walio kuwa na mahusiano kazini kwa takribani mwaka na nusu hivi.

Picha lina anza walipo anza ugomvi sisi kama wana taasisi tunajulishwa ni kama vile swala la familia lina hamia kazini basi valuvalu.
Tangu walipo achana ni kama mwanamke kajipata zaidi na jamaa etu kapigika vibaya mnoo
Hata sisi tukikaa na shemeji yetu jamaa anatuona wabaya.
Wakuu mkiweza acheni masuala ya mahusiano maeneo ya kazini.

Sakwe bin sakwe
Binadamu mashaka.
Muwe na mchana mwema wakuu🙏
kuna binamu yangu mmoja alikuwa na mahusiano na mfanyakazi mwenzake wakafikia hatua hadi ya kuoana, lakini hawakufika mbali, kila siku ukawa ni mwndo wa kupigana pigana hadi wakaachana
 
Wakuu habari za mchana na wasalimu kijana wenu.

Sasa twende kwenye mkasa nimeshuhudia watu walio kuwa na mahusiano kazini kwa takribani mwaka na nusu hivi.

Picha lina anza walipo anza ugomvi sisi kama wana taasisi tunajulishwa ni kama vile swala la familia lina hamia kazini basi valuvalu.
Tangu walipo achana ni kama mwanamke kajipata zaidi na jamaa etu kapigika vibaya mnoo
Hata sisi tukikaa na shemeji yetu jamaa anatuona wabaya.
Wakuu mkiweza acheni masuala ya mahusiano maeneo ya kazini.

Sakwe bin sakwe
Binadamu mashaka.
Muwe na mchana mwema wakuu🙏
Hii tabia ya generalize mambo Huwa sipendezwi nayo Mimi binafsi,

Mimi mke wangu nimempata kituo kwangu ninapofanyia kazi na tuko kituo kimoja kwa zaidi ya miaka 15

Na kazi tunapiga kama kawaida..
 
Back
Top Bottom