anaishi pekeMke na Ndugu wapo watanisaidia
Nasubiri ile dedication nikaisikilize.iko poa kabisa sijui wew
hakika mlikuwa na malengo !Hii tabia ya generalize mambo Huwa sipendezwi nayo Mimi binafsi,
Mimi mke wangu nimempata kituo kwangu ninapofanyia kazi na tuko kituo kimoja kwa zaidi ya miaka 15
Na kazi tunapiga kama kawaida..
Ukala kona kabla ya kuliwa wewe 😂😁
huyuu nimekwambia mimi ni kimbau mbau? 😄Ule Unenepe
oukyy usijali nilikua sijatulia,, nitakuita lazima 📍Nasubiri ile dedication nikaisikilize.
Ndiyo maana makampuni mengi including mabank hawaruhusu muwe na uhusiano.Wakuu habari za mchana na wasalimu kijana wenu.
Sasa twende kwenye mkasa nimeshuhudia watu walio kuwa na mahusiano kazini kwa takribani mwaka na nusu hivi.
Picha lina anza walipo anza ugomvi sisi kama wana taasisi tunajulishwa ni kama vile swala la familia lina hamia kazini basi valuvalu.
Tangu walipo achana ni kama mwanamke kajipata zaidi na jamaa etu kapigika vibaya mnoo
Hata sisi tukikaa na shemeji yetu jamaa anatuona wabaya. Wakuu mkiweza acheni masuala ya mahusiano maeneo ya kazini.
Sakwe bin sakwe
Binadamu mashaka.
Muwe na mchana mwema wakuu🙏
Hahaha leo nimecheka sanaTangu walipo achana ni kama mwanamke kajipata zaidi na jamaa etu kapigika vibaya mnoo
Hata sisi tukikaa na shemeji yetu jamaa anatuona wabaya. Wakuu mkiweza acheni masuala ya mahusiano maeneo ya kazini.
Duuuh yaan wanaacha kazi halafu wanaenda kufanyaje?Kuna kampuni nasikia zimeweka sheria kabisa...no mapenzi. Kuna mahali nilisoma mtu aliweka post watu waeleze ni sheria gani haikuwepo ofisini ila ilikuja kuwekwa kwa sababu ya mjinga mmoja ndio huyo mmoja akafunguka kuwa waliwekewa hiyo sheria baada ya wanandoa wawili kuwa na tabia ya kuacha kazi na kwenda kupigana miti washroom 🤣🤣🤣
Ni ushauri tu boss...sio kila anayefanya ngono zembe anapata ukimwi na hivyo hatuwezi kuacha kuelimishana kwa sababu ya exceptions chache. Hili suala kwa asilimia kubwa limekuwa proved kwamba ni tatizoHii tabia ya generalize mambo Huwa sipendezwi nayo Mimi binafsi,
Mimi mke wangu nimempata kituo kwangu ninapofanyia kazi na tuko kituo kimoja kwa zaidi ya miaka 15
Na kazi tunapiga kama kawaida..
Mkuu sitaki ushahidi 🤣Duuuh yaan wanaacha kazi halafu wanaenda kufanyaje?
Mkuuhuyuu nimekwambia mimi ni kimbau mbau? 😄
Wazee wa moja na mbili 😅Labda awe hana Trakko!