Fanya yote ila usiwe na mahusiano na mfanyakazi mwenzako kazini

Fanya yote ila usiwe na mahusiano na mfanyakazi mwenzako kazini

kwahiyo wale wanaosema mahusiano hayana formula wapingwe?
20260510_152446.jpg
 
Wakuu habari za mchana na wasalimu kijana wenu.

Sasa twende kwenye mkasa nimeshuhudia watu walio kuwa na mahusiano kazini kwa takribani mwaka na nusu hivi.

Picha lina anza walipo anza ugomvi sisi kama wana taasisi tunajulishwa ni kama vile swala la familia lina hamia kazini basi valuvalu.
Tangu walipo achana ni kama mwanamke kajipata zaidi na jamaa etu kapigika vibaya mnoo
Hata sisi tukikaa na shemeji yetu jamaa anatuona wabaya.
Wakuu mkiweza acheni masuala ya mahusiano maeneo ya kazini.

Sakwe bin sakwe
Binadamu mashaka.
Muwe na mchana mwema wakuu🙏
ushauri mzuri maana nilishaanza kujichagulia.
 
Back
Top Bottom