Hiyo kitu haina afya kabisa, inaweza kukuchomoa anytimeWakuu habari za mchana na wasalimu kijana wenu.
Sasa twende kwenye mkasa nimeshuhudia watu walio kuwa na mahusiano kazini kwa takribani mwaka na nusu hivi.
Picha lina anza walipo anza ugomvi sisi kama wana taasisi tunajulishwa ni kama vile swala la familia lina hamia kazini basi valuvalu.
Tangu walipo achana ni kama mwanamke kajipata zaidi na jamaa etu kapigika vibaya mnoo
Hata sisi tukikaa na shemeji yetu jamaa anatuona wabaya.
Wakuu mkiweza acheni masuala ya mahusiano maeneo ya kazini.
Sakwe bin sakwe
Binadamu mashaka.
Muwe na mchana mwema wakuu🙏
kuna binamu yangu mmoja alikuwa na mahusiano na mfanyakazi mwenzake wakafikia hatua hadi ya kuoana, lakini hawakufika mbali, kila siku ukawa ni mwndo wa kupigana pigana hadi wakaachanaWakuu habari za mchana na wasalimu kijana wenu.
Sasa twende kwenye mkasa nimeshuhudia watu walio kuwa na mahusiano kazini kwa takribani mwaka na nusu hivi.
Picha lina anza walipo anza ugomvi sisi kama wana taasisi tunajulishwa ni kama vile swala la familia lina hamia kazini basi valuvalu.
Tangu walipo achana ni kama mwanamke kajipata zaidi na jamaa etu kapigika vibaya mnoo
Hata sisi tukikaa na shemeji yetu jamaa anatuona wabaya.
Wakuu mkiweza acheni masuala ya mahusiano maeneo ya kazini.
Sakwe bin sakwe
Binadamu mashaka.
Muwe na mchana mwema wakuu🙏
Suala siyo kupigana ila ni wivu wa hao masela wa kazini watakuchukia vibaya mnokuna binamu yangu mmoja alikuwa na mahusiano na mfanyakazi mwenzake wakafikia hatua hadi ya kuoana, lakini hawakufika mbali, kila siku ukawa ni mwndo wa kupigana pigana hadi wakaachana
hata baada ya kuachana hali haikuwa nzuri mbaya zaidi walishapata mtotoSuala siyo kupigana ila ni wivu wa hao masela wa kazini watakuchukia vibaya mno
Hii tabia ya generalize mambo Huwa sipendezwi nayo Mimi binafsi,Wakuu habari za mchana na wasalimu kijana wenu.