Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Usikariri.Wakuu habari za mchana na wasalimu kijana wenu.
Sasa twende kwenye mkasa nimeshuhudia watu walio kuwa na mahusiano kazini kwa takribani mwaka na nusu hivi.
Picha lina anza walipo anza ugomvi sisi kama wana taasisi tunajulishwa ni kama vile swala la familia lina hamia kazini basi valuvalu.
Tangu walipo achana ni kama mwanamke kajipata zaidi na jamaa etu kapigika vibaya mnoo
Hata sisi tukikaa na shemeji yetu jamaa anatuona wabaya. Wakuu mkiweza acheni masuala ya mahusiano maeneo ya kazini.
Sakwe bin sakwe
Binadamu mashaka.
Muwe na mchana mwema wakuu🙏
mi mwenyew minyama alf unataka niongeze minyama? over my dead body I can'tMkuu
Hujapitia Thread Ya Kimbaumbau very Minyama
Uone Comments Haa Utafurahi Wewe
Kunywa Juice Ya Beetroot Usiku Mmoja
AAsubuhi Unajaa Minyama
Kudate workmate hainogi !
Kwa hiyo na jay ska nae wamepita naeHuu ujumbe uwafikie wabunge wote wa jamuhuri ya muungano wa TZ, waache kutongozana,
Maana wameshindikana
ShwaaaKwa hiyo na jay ska nae wamepita nae
Hiii tuibandike posta hiii 😂😂😂😂Nilioa mfanyakazi mwenzangu ndoa ilidumu siku 3 tu,......
Mke narcissist, jeuri, mjuaji, tamaa nyingi,nikachomoa.
Akaja kuhamasisha mgomo kazini aloooooh.... Single mother ni bomu nyie acheni tu.
Nikapigwa silent ban ya miezi 6 hatusalimiani na boss. Wazee wa kazi wakaingia kazini wakaja kugundua kuwa binti ana ndoa 7 ndani ya miaka mitatu hivyo Sina hatia.
Wanawake wote ikawa wamenisusia...
Kweli mkuu mimi kuna pisi ilikuwa inanielewa sana job ila sitaki hata mazoeaMapenzi ya kazini hua yana hatari yakupoteza vyote kwa pamoja,unapoteza mpenzi na kazi pia,
Kazini sio sehemu yakua hata na rafiki,fanya kazi,get paid nenda home.
kulikuwa na haja ya kuwataja singomaza kwenye hii comment ?Nilioa mfanyakazi mwenzangu ndoa ilidumu siku 3 tu,......
Mke narcissist, jeuri, mjuaji, tamaa nyingi,nikachomoa.
Akaja kuhamasisha mgomo kazini aloooooh.... Single mother ni bomu nyie acheni tu.
Nikapigwa silent ban ya miezi 6 hatusalimiani na boss. Wazee wa kazi wakaingia kazini wakaja kugundua kuwa binti ana ndoa 7 ndani ya miaka mitatu hivyo Sina hatia.
Wanawake wote ikawa wamenisusia...
kuanzia asubuhi hadi jioni jua linapozama nipo kazini, hao viumbe wengin wa kuanzisha nao mahusiano nawapata wapi muda ganiKweli kabsa.
Mahusioano ya kazin na staff mwenzko ni moja ya Big mistake. Unafnya una loose mengi sanaa
Je yameshakutokea?Mapenzi ya kazini hua yana hatari yakupoteza vyote kwa pamoja,unapoteza mpenzi na kazi pia,
Kazini sio sehemu yakua hata na rafiki,fanya kazi,get paid nenda home.
Uko sahihi mkuu cha msingi usiweke ukaribu mapema kabla hawajakuzoea inasaidiaduh mi siwezi kuwa na demu ofisini ,mademu mkifanya kazi sehemu moja wakikuzoea dharau kibao sipati picha ndo awe demu wangu,na wakionyesha interest ya kukuhitaji ukawakwepa sijui kwanini uwa wanachukia balaa