Farewell RO....

Status
Not open for further replies.
Msitake nicheke bure hapa! Kwani hapa Tz kuna usalama wa Taifa au usalama wa Viongozi?
na hatimaye viongozi nao hawako salama maana wangekuwa salama the late Barrow, RPC wa Mwanza na Padre Mushi wa Zanzibar (naye ni kiongozi) labda wangekuwa hai

 
Siku tutakapoacha kuangalia masuala ya muhimu kidini ndipo hii nchi itaendelea,kwa wenye akili natumaini mmeelewa
 
Aliteuliwa Kishkaji na mshkaji wake.
Washkaji hawaleteani noma bana.
 
naskia wewe unaishi ughaibuni kama mkimbizi, unarudi lini nyumbani tuijenge nchi yetu kwa pamoja???????????
Huo unaitwa Umbea.
Ungekuwa Mwananyamala kwa Manjunju wangekununulia kanga.
 
Rashid Othman anatakiwa kustaafu lini kwa mujibu wa sheria?

Mimi nimechoka na siasa za kibongo hizi, yaani SLAA naye leo kaingia JF kwa jina la Mwanakijiji. Nchi inahitaji mshikamano katika nyanja zote kuhakikisha watanzania wanafika kule ambapo mataifa mengine yamefika, badala yake tunaanza kupoteza muda kwa kujadili upuuzi tu humu JF , hivi kujua mtu anastaafu lini li kazi tu kweli kama unahitaji kujua hilo si uende kwa mwajiri wake akwambie. Hebu leteni mada bwana ambazo zina mshiko kwa taifa.
 
comment zako zinaku difine uwezo wako wa kiakili kwa maana unaongea usiyoyajua wala kuyafanyia utafiti...kumbuka hapa jf wanapita watu wenye akili na uwezo wa kupambanua mambo than u can imagine

Watu hao hawapo hapa,acha kudanganya
!
 
hata ukiwajua hao watu haitakusaidia maana huu ni mtandao wa kijamii na kila mtu yumo humu. kama utahangaika kujua nani ni yupi utachemsha. maana wengine wanachangia issue hawachangii upuuzi. kama umetumwa na hiyo idara kuorodhesha majina ya wachangiaji ambao ni watumish wa idara hapo unapoteza muda. sisi wengine kila issue tunachangia hata zile ambazo mnaona kuwa hazina maslahi kwenu
 
Rudi Face book.
huku hapakufai hata kidogo.
 
utaifakwanza tufike mahali tuwe wakweli na tusiwe watu wa kukopi mawazo ya watu wengine na kuyahamishia kwenye akili zatu; hivi watoto wa kule Kibosho, Marangu, Rombo, Mwika, Gairo, Naibili, Masama, Dongo Besh, Haydom, Bashnet, Ifakara, Ikwiriri, Lugoba, Mazinde, Hanang, Siwandeti, Mwandeti, Mwandete hao wana "internet access"? Njooni na sababu nyingine za watoto kufeli lakini hili la "facebook" ni sababu ya kufikirika lakini si kweli
 
Last edited by a moderator:
Siku tutakapoacha kuangalia masuala ya muhimu kidini ndipo hii nchi itaendelea,kwa wenye akili natumaini mmeelewa

Yap, sana 2 mkuu, Manake huyu RASHIDI anashambuliwa kwa sababu ya dini yake na si vinginevyo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…